Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kuna wagon za mizigo , wagon za abiria huezi Fanya kubebea mizigo
njema 👍🏽.
lakini wameruhusu mwisho wa kubeba mzigo uwe 30kg. swala lipo hapa kwa begi la 'shangazi kaja'! limekosa nini hadi lipigwe marufuku?
mkuu, hujanielewa, nchi hii imejaa masikini wengi, kila mtu anajikuna pahali anapofikia. huezi niambia nitoe pesa ninunue sanduku Tsh 30,000 wakati naona hapa kuna 'shangazi kaja' la Tsh 3,000. No way mkuu.
huu ni ubaguzi wa watu wa hali ya chini/ wanyonge...
 
Umeanza kuwa kama Kigwangala sasa🙂
 
We jamaa unahangaika kutafuta justification aisee doooh!?
Hakuna aliyebaguliwa hapo.
Kama unataka kujua kwanini shirika limeweka exceptional ya mizigo tembelea narrow gauge uone namna waha walivyo wachafuzi wa mazingira.
Shirika lina akili kuliko wewe na limefanya maamuzi hayo likiwa na maana yake,wewe ni nani bro ukishinikiza waonekane wamekosea!?
 
kwani Waha sio watu? we jamaa ni mbaguzi wa kutupwa
 
Naweza kuona hutumii akili we jamaa.
Utakuja kusafisha mabehewa na kuyatunza!?
Umeona mabehewa ya MGR yalivyochakazwa!?
Au unaropoka tu man!?
 
China usifananishe na sisi wala wewe mazeh.
Hao wana aina nyingi za commuter trains.
Hata sisi pia tuna treni zinaruhusu kufanya hicho ambacho wanakifanya wao.
Hata huko China sio kila treni unaweza fanya hivyo.
Halafu treni yetu sio rural train bali ni intercity train.
 
amka ww, utakojoa kwenye kitanda.
'Cities' zenu munazijua wenyewe
IMG_20240712_182826.jpg

IMG_20240712_183258.jpg
 
njema 👍🏽.
lakini wameruhusu mwisho wa kubeba mzigo uwe 30kg. swala lipo hapa kwa begi la 'shangazi kaja'! limekosa nini hadi lipigwe marufuku?
mkuu, hujanielewa, nchi hii imejaa masikini wengi, kila mtu anajikuna pahali anapofikia. huezi niambia nitoe pesa ninunue sanduku Tsh 30,000 wakati naona hapa kuna 'shangazi kaja' la Tsh 3,000. No way mkuu.
huu ni ubaguzi wa watu wa hali ya chini/ wanyonge...

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1811776592697328018
 
Back
Top Bottom