Mkurugenzi TRC asema Treni ya SGR, NO abiria kubeba vyakula, NO mafurushi makubwa

Mkurugenzi TRC asema Treni ya SGR, NO abiria kubeba vyakula, NO mafurushi makubwa

Sasa masaa mawili njaa imekuuma kweli? Ila kutakuwa na wahudumu kama wa emirates air
Njaa haina masaa, kuna mtu atahisi njaa wakati wengine bado, kuna mwingine ameacha kula kuwahi treni akaona hawezi kukaa chini ale badala yake abebe atakula akikaa. Kwa kifupi safarini kuna kula hilo halina maswali labda kama ni magunia yanasafirishwa
 
Nimeambiwa kuna mgahawa wa maana, sidhani kama itakuwa shida, ila ule ugali wa lowe wa kazuramimba tutaumiss sana
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa wameweka utaratibu kwa abira watakaosafiri na treni ya umeme kwamba hawataruhusu mtu asafiri na mizigo mikubwa au chakula kama ilivyo kwenye treni ya MGR, kwamba lengo la kufanya hivyo ni kutunza mazingira ya usafiri huo ili uweze kudumu kwa miaka mingi

Video: Nipashe Digital
safi kabisa!unamafurushifurushi yako kapande basi au train nyingine!msituchafulie treni yetu mpyaa~
 
Huu mradi hadi uje kuanza tutashuhudia mengi hahaa
 
Tuiombee treni yetu iwe ya mafanikio sio kama ile ya nchi jirani. Walikopa pesa nyingi sina kwa wachina lakini ilivyoisha wananchi wameitelekeza, wanaendelea kupanda zao tu ma bus Nairobi Mombasa.
Ikibidi serikali iondoe route za mabuss dar dom. Ili kuondoa ushindani kibiashara.
Kama ilivyoondoa fast jet.
Ushindani hautakuwepo mkuu.
Hiyo ya diesel kila siku inajaza mbona haina ushindani!?
Kasubirie station leo alhamisi uone waliopanda MGR utasema wamepanda bure hadi wengine wamesimama.
 
Mnadanganywa na nani? Treni kutoka London to Manchester ni £80-120 ukipanda bus la National Express ilikuwa kama £15. Ndege unaweza kupata cheaper kuliko treni sema. Kuna EasyJet wakati huo trip za within EU unaweza kwenda hata kwa £50. Naongea nikiwa nimetumia sana treni na buses UK over ten years ago.
Mkuu bei za mwaka gani hizo?
 
Yaani nisafiri Toka da es salaam to mwanza bila begi? acheni masihara.dalili za kufeli zimeanza.
 
Yaani nisafiri Toka da es salaam to mwanza bila begi? acheni masihara.dalili za kufeli zimeanza.
sio BEGI. Usibebe mashangazikaja na wale mbuzi wasukuma mmezoea kuwa nao kwenye usafiri wa uma.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa wameweka utaratibu kwa abira watakaosafiri na treni ya umeme kwamba hawataruhusu mtu asafiri na mizigo mikubwa au chakula kama ilivyo kwenye treni ya MGR, kwamba lengo la kufanya hivyo ni kutunza mazingira ya usafiri huo ili uweze kudumu kwa miaka mingi

Video: Nipashe Digital
Sasa Waha itakuwaje?
 
Back
Top Bottom