Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sasa si bora wangejenga barabara za njia nne hadi nane tu raia waendelee kutiririka na mabasi tu.Mnadanganywa na nani? Treni kutoka London to Manchester ni £80-120 ukipanda bus la National Express ilikuwa kama £15.
Ndege unaweza kupata cheaper kuliko treni sema. Kuna EasyJet wakati huo trip za within EU unaweza kwenda hata kwa £50. Naongea nikiwa nimetumia sana treni na buses UK over ten years ago.