Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Leta official link inayosema mombasa port inapakua 30million tons kila mwaka alaf tuendelee
Mimi ndo niliuliza swali kwanza, nipatie projected/expected cargo kwa SGR tz ya kila mwaka kuanzia ile siku itamalizwa kujengwa...

Anyway, ili usipate sababu hii hapa kutoka KPA

In the year 2017 the Port handled a total cargo throughput of 30.35 million tons up from 27.36milllion tons handled in 2016. This represented a remarkable growth of 10.9 percent. Imports recorded athroughput of 25.60 million tons up from 23.12 million tons, giving a substantial increase of 10.8 percent.

Exports passing through the Port also increased from 3.66 million tons handled in 2016 to3.79 million tons.

Transit traffic to the region recorded 8.64 million tons in 2017 compared to 7.75 million tons in 2016.

Container traffic registered a performance of 1.190million TEU'S up from 1.091TEUs handled in 2016, representing a growth of 9.0 percent. This growth is way above the international average of 5 percent.

Remarks by KPA Acting Managing Director Dr. Arch. Daniel Manduku during stakeholders luncheon on September 19,2018

---Kuna PDF nzima ya KPA pia kam unataka, inaonyesha cargo throughput tangu 2008 na pia inaonyesha projected cargothroughput hadi 2030.....
 
mimi nataka prejected cargo kwa SGR Tz, not Dar port
Huwezi ukaniambia mombasa imepakua 30m tons wakat ni uongo alaf tuendelee kujadiliana unapotoa hoja toa hoja na evidenceπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mm najua mombasa port ilipakua 24m tons
Na dar mwaka jana imepakua 20m tons na ushahidi ukitaka sema na hapo hapo ujue dar port iko under huge expansion more than 350m usd zinatumika na wachina wanendelea na ujenzi kwa kasi nini maana ya expansion maana yake pamoja na kupakua 20m tons bado inazidiwa na mzigo ndio maana tunapanua bandar mpaka 2020 ikikamilika tutakua tumefika target ya 25m na kuendelea
 
Sasa Kwa upande mmoja unasema ni Jambo la kawaida na Kwa upande mwengine unataka kujua jina la kampuni.
Najua yepi alileta mitambo ya kuvunja kokoto mwenyewe ili kupunguza gharama ya ujenzi
 
Au mushapika data tayariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa Kwa upande mmoja unasema ni Jambo la kawaida na Kwa upande mwengine unataka kujua jina la kampuni.
Najua yepi alileta mitambo ya kuvunja kokoto mwenyewe ili kupunguza gharama ya ujenzi
Nataka kujua wewe nijuze tu,,,,,,ili nifahamu....kuuliza si ujinga
 
Huyu alieleta hili wazo la kupanda majani ana stahili pongezi. watapanda kwenye njia nzima, unaua jiwe moja kwa ndege wawili. Achilia mbali kulinda tuta ili unatunza mazingira pia. Hapo ukiwa safarini ata ukitupa jicho njee una refresh akili kwa kutizama ukijani huku ukipata fresh air, kuliko kwa wengine njiani unachoka maana njia nzima unaona ma cement tu! [emoji1]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Halafu angalia tofauti ya mifereji! Kwetu zege linamiminwa wakati kwao wanapanga mawe!

Anyway,

phase 2A drainage works at +km 46 (kampuni za Kenya za kibinafsi ndo hupewa kandarasi za kujenga mitaro as part of local content)




Matokeo yake

 
Halafu angalia tofauti ya mifereji! Kwetu zege linamiminwa wakati kwao wanapanga mawe!



Matokeo yake

Kweli!! Tena nilikua sija angalia vizuri tuta lao wanalilinda kwa mawe na kokote! No wonder mvu ili fanya yake.. huo ujenzi wa kupanga mawe ni very cheap. Hilo zege lilo wekwa na Yapi ni mkataba. Compare and contrast, the beautiful and the ugly [emoji23]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wapumbavu humu ndani! hudai Chinese first class! Halafu mifereji haipo smooth haijanyooka na pia mawe yamepangwa!
 
Nataka kujua wewe nijuze tu,,,,,,ili nifahamu....kuuliza si ujinga
Kila section inapewa sub contractor flani kwahivyo hauwezi ukawajua wote....

Lakini ntakupatia mifano kadhaa.... Kuna hii kampuni Greenersol Landscape, hao ndo walifanya kazi ya slop protection ya mtito andei station pamoja na drainage for 40km.


Standard Gauge Railway (SGR),Mtito Andei Station
.
-Slope stabilization, drainage installation and landscaping-40km section. China Rd and Bridge
Projects List - Greenersol Landscape


Kuna hii kampuni nyengine nayo inaitwa Headstream Construction Co. Limited hao pia walipewa 30km
 
Sawa kwa hiyo hizo kampuni zinamilikiwa na wazawa wa kikenya?
 
Ichoboy ameshagundua tayari..high technology in africa..hyo itakuwa fact tayari kw nyumbu wenzie
 
Anyway,

phase 2A drainage works at +km 46 (kampuni za Kenya za kibinafsi ndo hupewa kandarasi za kujenga mitaro as part of local content)



I see now is electrified mtungi wa chang'aa
 
Wapumbavu humu ndani! hudai Chinese first class! Halafu mifereji haipo smooth haijanyooka na pia mawe yamepangwa!
First class my foot! Huko china inaitwa slow train, mazuzu wamepatikana. Tz SGR hii kweli European standard mtu unakatisha Singida ila ukitupa jicho unakutana na nyasi za Santiago bernabeu [emoji1]. Itafika kipindi ukiwa na stress Dr anakwambia kapande train nenda Dom kisha rudi Dar utakua sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…