Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

We endelea kupiga kelele zisizo na maana,kelele za debe tupu.
Ila utake usitake hilo eneo halina athari kama unavyojaribu kuaminisha watu humu.
Badala yake laumuni serikali yenu kwa kujenga reli ya pesa nyingi halafu ni joint rail.
 
Mmeyataka wenyewe na hayo maandamano yenu, vurugu na kusababisha watu kuuawa, kuharibu majengo na kupora mali za wafanyabiashara wanaojitafutia rizki, mmefanya uharibufu bungeni, gari za wabunge n.k, mmesababisha watu kupoteza maisha, wamekutwa kwenye viroba wakiwa wamekatwa katwa, faida gani mmepata! Kwani mlishindwa nini kuandamana kwa amani! Mmeipa hasara nchi, muanze upya, Nyie dawa yenu alshabaab tu.

Najivunia na Tanzania yangu japo hali ya maisha sio nzuri kivile, ila muhimu amani tu.

Kwa sasa tuna SGR, nyie huko sijui kama mna Treni hata la diesel
 
We endelea kupiga kelele zisizo na maana,kelele za debe tupu.
Ila utake usitake hilo eneo halina athari kama unavyojaribu kuaminisha watu humu.
Badala yake laumuni serikali yenu kwa kujenga reli ya pesa nyingi halafu ni joint rail.
Hawa ndio wanaosababisha raia kuuawa, subiri alshabaab waingie mitaa yao walianzishe, ujanja wote kuishnei, halafu waombe msaada USA 🇺🇸
 
We endelea kupiga kelele zisizo na maana,kelele za debe tupu.
Ila utake usitake hilo eneo halina athari kama unavyojaribu kuaminisha watu humu.
Badala yake laumuni serikali yenu kwa kujenga reli ya pesa nyingi halafu ni joint rail.
nahofia sana usalama wa maisha yangu kwenye reli cheap namna hii 👇

treni inaweza ika-derail mda wowote.
halafu hio ni sample tu, the whole network looks that way hadi serikali ikapiga marufuku kupiga picha.
ww hebu jiulize kwa nini machawa humu walimshukia kama mwewe yule muungwana mr Dude kwa kumkaripia na kumfukuza kama mbwa koko kisa ali-post picha za 🤣
 
Maneno ya mkosaji hayo,Tanzania ina watu wa kutathmini ubora wa viwango vya reli,kama kungelikuwa kuna shida basi ingesemekana.
Endelea kupiga kelele za debe tupu ila TRC sio KR.
 
Hao jamaa wako hivyo na hawapendi kuona wako wako nyuma kama wakenya. Mradi huu sio mkopo toka Dar to Moro to Dodoma kama walivyodai kwenye taarifa yao.
Nimesikia ndio,wanadai kuwa tumekopa pia mradi umesuasua sana kisa uhaba wa fedha.
 
hakika hili limenikwaza sana kuona kua watu wa chini/ wanyonge/ masikini/ walio wengi wanatengwa na kubaguliwa
Ziko option nyingi za reli Tz zote zinafanya kazi na pia for MGR there is a special goods wagons along the passengers train that you can put hard luggages, cargo and live animals.
 
View attachment 3041640
Hapa ndo walipofikia jirani zetu baada ya upepo mkali wa SGR yetu, tuwaombee! Behewa moja halafu limeandikwa kichina tupu ukute mkwanja wote unaelekea kwa Soviet dah mchina analamba anavyotaka hizi nyang’au.
Shikamoo mchina 🙌 kamatia hapohapo usiachie wajione wako kwenye ndege japo inachukua masaa 6 a distance of 450km unajua kweli kuwapumbaza hawa nyangau 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…