Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #17,861
Reli zetu zote zinafanya kazi!endelea kujiliwaza. tunaongelelea functioning/ active railway lines.... sio zenye ziko abandoned ama proposed. ishi kwenye uhalisia, usiwe unaishi kwenye dunia yako kama yule boya coodip1
Tanzania ina mtandao mkubwa sana wa reli.
Hajielewi huyo.Reli zetu zote zinafanya kazi!
Hao Africas business insider ni chanzo cha uhakika.Tunaishi kwenye uhalisia. Wacha kuishi kwenye ndoto my fren. Wake up!
Dada yake Lewis254 anaitwa Maria Sarungi, mjomba wake anaitwa Boni Yai na mdogo wake anaitwa Mdude, ha ha ha😎😎Hajielewi huyo.
TRC ina 2600 narrow gauge and over 700 km SGR! while over 800 km U/C! TAZARA over 969 km of Cape Gauge Railway!Tanzania ina mtandao mkubwa sana wa reli.
TRC peke yake ina mtandao wa reli zaidi ya kilometa 2000.
Hapo hujaigusa TAZARA pia.
Na tuna reli aina tatu,cape gauge,narrow gauge na standard gauge.
Jidanganye na vitakwimu uchwara.
Mkali,, mbona mambo kama haya tulishayajadili hapa kwa marefu na mapana... jaribu kuwauliza wenzako watakuambia.Where do you get the notion that Tanzania SGR can't handle double stacked containers
hata haujui unaandika nini. hujielewi kabisa!Na tuna reli aina tatu,cape gauge,narrow gauge na standard gauge.
Jidanganye na vitakwimu uchwara.
Ficha upumbavu mabehewa yanakuja! Tuliza kishundu! FYA doublestack PAX coaches tayari zipo!Mkali,, mbona mambo kama haya tulishayajadili hapa kwa marefu na mapana... jaribu kuwauliza wenzako watakuambia.
kwa kifupi hebu jaribu kutizama hapa chini kisha ujijazie 👇
View attachment 3071925
halafu hebu ona mambo yenyewe sasa kwenye reli ya Kenya 👇
View attachment 3071929
Hujielewi wewe uliyeleta takwimu za hovyo na uongo.hata haujui unaandika nini. hujielewi kabisa!
Kamanda Lewis254 ni mtu wa kujizima data asikusumbue kabisaa😎...Usijizime data mzee.
Halafu alivyo mpumbavu hajui our sgr supports double stack and we have ordered 50 wagons.Where do you get the notion that Tanzania SGR can't handle double stacked containers
Ukimwambia akuoneshe hizo kilometers 3800 za reli Kenya mtatafutana hapa 🤣🤣🤣Tanzania ina mtandao mkubwa sana wa reli.
TRC peke yake ina mtandao wa reli zaidi ya kilometa 2000.
Hapo hujaigusa TAZARA pia.
Na tuna reli aina tatu,cape gauge,narrow gauge na standard gauge.
Jidanganye na vitakwimu uchwara.
MGRTRC ina 2600 narrow gauge and over 700 km SGR! while over 800 km U/C! TAZARA over 969 km of Cape Gauge Railway!