Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tanzania ina mtandao mkubwa sana wa reli.
TRC peke yake ina mtandao wa reli zaidi ya kilometa 2000.
Hapo hujaigusa TAZARA pia.
Na tuna reli aina tatu,cape gauge,narrow gauge na standard gauge.
Jidanganye na vitakwimu uchwara.
TRC ina 2600 narrow gauge and over 700 km SGR! while over 800 km U/C! TAZARA over 969 km of Cape Gauge Railway!
 
Where do you get the notion that Tanzania SGR can't handle double stacked containers
Mkali,, mbona mambo kama haya tulishayajadili hapa kwa marefu na mapana... jaribu kuwauliza wenzako watakuambia.
kwa kifupi hebu jaribu kutizama hapa chini kisha ujijazie 👇
IMG_20240816_185828.jpg

halafu hebu ona mambo yenyewe sasa kwenye reli ya Kenya 👇
Esway-nXYAEN1Gx.jpeg
 
Mkali,, mbona mambo kama haya tulishayajadili hapa kwa marefu na mapana... jaribu kuwauliza wenzako watakuambia.
kwa kifupi hebu jaribu kutizama hapa chini kisha ujijazie 👇
View attachment 3071925
halafu hebu ona mambo yenyewe sasa kwenye reli ya Kenya 👇
View attachment 3071929
Ficha upumbavu mabehewa yanakuja! Tuliza kishundu! FYA doublestack PAX coaches tayari zipo!
 
hata haujui unaandika nini. hujielewi kabisa!
Hujielewi wewe uliyeleta takwimu za hovyo na uongo.
Unapozungumzia mtandao wa reli inamaana unazungumzia mfumo mzima wa reli nchi nzima umejengwa kilometa ngapi ikiwemo na kutumika pia.
Usijizime data mzee.
 
Where do you get the notion that Tanzania SGR can't handle double stacked containers
Halafu alivyo mpumbavu hajui our sgr supports double stack and we have ordered 50 wagons.
Pili apart from speed our train length is 2000 meters or 2 km long compared to theirs at 880 meters
Axle load Tz SGR 35 tons per axle compared to Kenyan 25 tons per axle
Locomotive power TZ sgr 5800kw while Kenyan 3100kw
 
Tanzania ina mtandao mkubwa sana wa reli.
TRC peke yake ina mtandao wa reli zaidi ya kilometa 2000.
Hapo hujaigusa TAZARA pia.
Na tuna reli aina tatu,cape gauge,narrow gauge na standard gauge.
Jidanganye na vitakwimu uchwara.
Ukimwambia akuoneshe hizo kilometers 3800 za reli Kenya mtatafutana hapa 🤣🤣🤣
 
TRC ina 2600 narrow gauge and over 700 km SGR! while over 800 km U/C! TAZARA over 969 km of Cape Gauge Railway!
MGR
Da Isaka 900km
Isaka mwanza 250km
Isaka Kigoma 560km
Tabora kaliua mpanda 450km
Dar Arusha 700km
Tanga Korogwe 100km

Hiyo hapo juu ni urefu wa MGR tuu
Unaweza ukaongeza Tazara 900km on Tanzanian side
SGR Dar Makutupora 560km
Hapa hatuhesabu sidings ni main line tuu.
 
Back
Top Bottom