Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

what about food security Ldc. talk to me
Ona hii ng'ombe.
Nchi inayojinasibu imeendelea lazima iwe na food security,ila kwa Kenya ni tofauti.
Kenya ni nchi iliyo katika orodha inayopokea msaada wa vyakula kutoka WFP.
Je taifa lililoendelea linapokea msaada wa vyakula!?
 
what about food security Ldc. talk to me
Ripoti ya FAO na WFP hiyo hapo chini.
Nchi kama Egypt ilipoona inajiwa na shortage of food ikaanzisha kilimo cha kisasa jangwani,sasa hivi Egypt ina chakula cha kutosha na ni nchi yenye jangwa kubwa sana.
Screenshot_2024-08-19-21-27-06-16_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-19-21-26-43-74_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Ripoti ya FAO na WFP hiyo hapo chini.
Nchi kama Egypt ilipoona inajiwa na shortage of food ikaanzisha kilimo cha kisasa jangwani,sasa hivi Egypt ina chakula cha kutosha na ni nchi yenye jangwa kubwa sana.
View attachment 3074346View attachment 3074347
nilikua nakujibu swali lako la kwanza, nikaona umeruka kwa Egypt tena. sijui Egypt ameingilia vipi hapa. anyway umeshajijibu mwenyewe. 80% ya Kenya ni jangwa.
so 100% ya nchi ya Tanzania iko arable, does it mean you don't receive food aid?
 
Ona sasa ulivyo.
Nimetoa mfano wa Egypt kwasababu Kenya inajulikana kama great economy kama Egypt.
Kenya ni semi-arid sio total arid.
Kulingana na uchumi wa Kenya kujinasibu kuwa ni mkubwa mlitakiwa muweke bajeti ya kuanzisha kilimo cha kisasa ili kuepukana na balaa njaa.
Egypt ina total arid land na wakanzisha kilimo cha kisasa.

Tanzania haipokei msaada wa chakula na haipo katika orodha ya nchi zinazopokea msaada wa chakula kutoka WFP.
Ukitaka naweza kukuletea orodha ya nchi zote Africa zinazopokea msaada wa chakula Tanzania haipo.
 
Ona sasa ulivyo.
Nimetoa mfano wa Egypt kwasababu Kenya inajulikana kama great economy kama Egypt.
kumbe unajua! na kwanini mbona munajilinganisha the Goat wa E.A

Tanzania haipokei msaada wa chakula na haipo katika orodha ya nchi zinazopokea msaada wa chakula kutoka WFP.
Ukitaka naweza kukuletea orodha ya nchi zote Africa zinazopokea msaada wa chakula Tanzania haipo.
hii hapa juzi tu mulikua munapewa msaada 👉Tanzania Bureau of Standards defends food aid from US
IMG_20240819_215157.jpg
 
kumbe unajua! na kwanini mbona munajilinganisha the Goat wa E.A
Mbona hapa hueleweki nini unaongea?
Tanzania inajitosheleza kichakula ndio maana hatupokei misaada.
Tunakuuliza wewe kenya unayejinasibisha kuwa EA economic power house.
Huo msaada ni exceptional na ulikataliwa,na huo msaada ulitolewa na balozi ya USA katika shule za DODOMA peke yake.
Na lengo la msaada wa chakula ni kutoa elimu juu ya vyakula vyenye lishe mashuleni,licha ya hivyo waziri wa kilimo Hussein Bashe aliukataa huo msaada akisema Tanzania haipo katika orodha ya mataifa yenye uhaba wa chakula.
Ila ninyi mpo katika orodha ya mataifa yanayohitaji msaada jumuishi wa chakula duniani kupitia shirika la chakula duniani WFP.
 
hawa ndio watu wanaojiona wako 'food secured'. nakumbuka ripoti ilipotolewa mwaka 2017, kuna gazeti lilipigwa marufuku na watu kuwekwa kizimbani kwa kuchapisha habari za kupotosha 👉👉 78pc of people affected by food shortages: study
Hii habari lazima hata mimi niikatae.
Maada mwaka 2017 ndio mwaka ambao Tanzania ilianza kuzuia uuzaji wa vyakula nje na hakukuwa na mfumuko wa bei ya vyakula,vyakula vilikua bei rahisi kuliko sasa hivi 2017.
Pia ndio mwaka mmoja wapo Magufuli alitoa msaada wa chakula Zimbabwe.
Sasa nikuulize wewe,je bidhaa iliyohadimika inaweza kuwa bei rahisi sokoni!?
Mwaka huo huo 2017 WFP imenunua mahindi hapa Tanzania kwaajili ya kutoa msaada hapa Afrika.
 
Na bado tunawalisha!
Wanaleta habari za kidananda.
Nani asiyejua miaka ya uongozi wa Magufuli habari za kupotosha zilikua nyingi!?
Hivi kaka unakumbuka kuwepo na uhaba wa chakula 2017!??
Embu sema wewe.
 
Wanaleta habari za kidananda.
Nani asiyejua miaka ya uongozi wa Magufuli habari za kupotosha zilikua nyingi!?
Hivi kaka unakumbuka kuwepo na uhaba wa chakula 2017!??
Embu sema wewe.
Tangu enzi ya Mkapa haujaawahi kuwa na njaa! Mkapa ndiye aliyeondoa njaa Tanzania na mfumo wa risiti maghalani!!
 
hawa ndio watu wanaojiona wako 'food secured'. nakumbuka ripoti ilipotolewa mwaka 2017, kuna gazeti lilipigwa marufuku na watu kuwekwa kizimbani kwa kuchapisha habari za kupotosha 👉👉 78pc of people affected by food shortages: study
Tanzania haijawahi kuwa na uhaba wa chakula,bali kuna muda kunakuwa upatikanaji hafifu tu ila ni kwa muda fulani sio muda wote.
Serikali ikifungua maghala ya vyakula hali inarudi kuwa sawa.

Twende kwa Kenya 2017 Kenya mlikua na famine.
Ripoti hizo hapo chini za Tanzania na Kenya 2017 juu ya chakula.
Screenshot_2024-08-19-22-28-25-36_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-19-22-29-09-58_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-19-22-29-35-70_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-19-22-26-58-85_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-19-22-27-08-95_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-19-22-27-25-60_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Tangu enzi ya Mkapa haujaawahi kuwa na njaa! Mkapa ndiye aliyeondoa njaa Tanzania na mfumo wa risiti maghalani!!
Nimemuwekea ripoti hapo.
Nchi inajinasibu vipi kuwa na uchumi mkubwa halafu inashindwa kukabili njaa?
Kisingizio ardhi.
Je Egypt na Libya wasemaje!?
Wana ardhi kubwa jangwa ila wakaanzisha vilimo vya kisasa.
 
Mijitu tunailisha halafu inakuwa mipumbavu namna hii! Sisi hata wakati wa famine in the region mikoa ya nyanda za Juu kusini na food reserve hulisha Tanzania nzima plus Kundustan!
 
Tanzania haijawahi kuwa na uhaba wa chakula,bali kuna muda kunakuwa upatikanaji hafifu tu ila ni kwa muda fulani sio muda wote.
😁😁 ilhali hunger report inasema muna njaa zaidi ya Kenya
 
Back
Top Bottom