Ona hii ng'ombe.what about food security Ldc. talk to me
kweli sio poa aisee πππHii tabia ya matangazo ya kumsifu rais inakera sana.kiufupi hii sifia sifia ya rais inatufedhehesha sana watanzania tunaojitambua
Ripoti ya FAO na WFP hiyo hapo chini.what about food security Ldc. talk to me
nilikua nakujibu swali lako la kwanza, nikaona umeruka kwa Egypt tena. sijui Egypt ameingilia vipi hapa. anyway umeshajijibu mwenyewe. 80% ya Kenya ni jangwa.Ripoti ya FAO na WFP hiyo hapo chini.
Nchi kama Egypt ilipoona inajiwa na shortage of food ikaanzisha kilimo cha kisasa jangwani,sasa hivi Egypt ina chakula cha kutosha na ni nchi yenye jangwa kubwa sana.
View attachment 3074346View attachment 3074347
Ona sasa ulivyo.nilikua nakujibu swali lako la kwanza, nikaona umeruka kwa Egypt tena. sijui Egypt ameingilia vipi hapa. anyway umeshajijibu mwenyewe. 80% ya Kenya ni jangwa.
so 100% ya nchi ya Tanzania iko arable, does it mean you don't receive food aid?
kumbe unajua! na kwanini mbona munajilinganisha the Goat wa E.AOna sasa ulivyo.
Nimetoa mfano wa Egypt kwasababu Kenya inajulikana kama great economy kama Egypt.
hii hapa juzi tu mulikua munapewa msaada πTanzania Bureau of Standards defends food aid from USTanzania haipokei msaada wa chakula na haipo katika orodha ya nchi zinazopokea msaada wa chakula kutoka WFP.
Ukitaka naweza kukuletea orodha ya nchi zote Africa zinazopokea msaada wa chakula Tanzania haipo.
Mbona hapa hueleweki nini unaongea?kumbe unajua! na kwanini mbona munajilinganisha the Goat wa E.A
Huo msaada ni exceptional na ulikataliwa,na huo msaada ulitolewa na balozi ya USA katika shule za DODOMA peke yake.hii hapa juzi tu mulikua munapewa msaada πTanzania Bureau of Standards defends food aid from US
View attachment 3074378
Na bado tunawalisha!hawa ndio watu wanaojiona wako 'food secured'. nakumbuka ripoti ilipotolewa mwaka 2017, kuna gazeti lilipigwa marufuku na watu kuwekwa kizimbani kwa kuchapisha habari za kupotosha ππ 78pc of people affected by food shortages: study
Asie jua maana usimwambie maana
Hii habari lazima hata mimi niikatae.hawa ndio watu wanaojiona wako 'food secured'. nakumbuka ripoti ilipotolewa mwaka 2017, kuna gazeti lilipigwa marufuku na watu kuwekwa kizimbani kwa kuchapisha habari za kupotosha ππ 78pc of people affected by food shortages: study
Wanaleta habari za kidananda.Na bado tunawalisha!
Tangu enzi ya Mkapa haujaawahi kuwa na njaa! Mkapa ndiye aliyeondoa njaa Tanzania na mfumo wa risiti maghalani!!Wanaleta habari za kidananda.
Nani asiyejua miaka ya uongozi wa Magufuli habari za kupotosha zilikua nyingi!?
Hivi kaka unakumbuka kuwepo na uhaba wa chakula 2017!??
Embu sema wewe.
mahindi na vitunguu? anyway tunalipa cash.Na bado tunawalisha!
mpaka maharagwe!mahindi na vitunguu? anyway tunalipa cash.
Tanzania haijawahi kuwa na uhaba wa chakula,bali kuna muda kunakuwa upatikanaji hafifu tu ila ni kwa muda fulani sio muda wote.hawa ndio watu wanaojiona wako 'food secured'. nakumbuka ripoti ilipotolewa mwaka 2017, kuna gazeti lilipigwa marufuku na watu kuwekwa kizimbani kwa kuchapisha habari za kupotosha ππ 78pc of people affected by food shortages: study
wacha maneno ya kwenye khanga ww. makinikaAsie jua maana usimwambie maana
Nimemuwekea ripoti hapo.Tangu enzi ya Mkapa haujaawahi kuwa na njaa! Mkapa ndiye aliyeondoa njaa Tanzania na mfumo wa risiti maghalani!!
Mijitu tunailisha halafu inakuwa mipumbavu namna hii! Sisi hata wakati wa famine in the region mikoa ya nyanda za Juu kusini na food reserve hulisha Tanzania nzima plus Kundustan!Nimemuwekea ripoti hapo.
Nchi inajinasibu vipi kuwa na uchumi mkubwa halafu inashindwa kukabili njaa?
Kisingizio ardhi.
Je Egypt na Libya wasemaje!?
Wana ardhi kubwa jangwa ila wakaanzisha vilimo vya kisasa.
ππ ilhali hunger report inasema muna njaa zaidi ya KenyaTanzania haijawahi kuwa na uhaba wa chakula,bali kuna muda kunakuwa upatikanaji hafifu tu ila ni kwa muda fulani sio muda wote.