Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

🤣🤣🤣🤣🤣

watu wajinga sana hawa. wakishashiba mihogo wanajiona wamefika 🤣
 
Nimeitoa katika article uliyoleta.
Sababu nilizozisema zile zile ni upungufu wa muda na ukosefu wa elimu.
Ila sio HUNGER AND FAMINE.
Na naweza kusema Tanzania tunajiweza kuliko ninyi.
Maana tumechukua hatua za kukabiliana na uhaba wa chakula.
Tofautisha kati ya NJAA na UPUNGUFU wa chakula.
 
To improve food security not to donate food.
Naona umeanza kuwa na uelewa hafifu.
 
Nothern Kenya yote ni desert na ni part of horn of Africa. sisi tukitajwa hatukatai ila nyinyi muna ban kabisa mpaka vyombo vya habari
Msilete visingizio.
Kama kuhusu kuwa jangwa Libya na Egypt ni jangwa kuliko Kenya,lakini mbona wao hawapokei misaada ya chakula!?
Maana ya kuwa na uchumi mkubwa ni kuweza kuchukua hatua zako mwenyewe za kupambana na balaa njaa.
Mathalan Egypt mbona wao hawalalamiki njaa na ni jangwa kuliko Kenya!??
Tanzania hakuna njaa na nimekuwekea vyanzo vya kimataifa ambavyo vingine ni vya UN vikisema TZ huwa kuna muda kunakuwa na acute food insecurity ila sio hunger and famine.
 
Tanzania hii moja ambayo watu kunywa chai ya maziwa ni anasa? 🙆🙆🤣🤣🤣
Umefika TZ na ukatembea kuku wewe.!?
Kanda ya ziwa yote na kanda ya kati maziwa hunyweka kama kinywaji cha kawaida.
Labda useme Dar es salaam kwasababu hakuna mifugo mingi.
Niko hapa Morogoro maziwa nusu lita tzsh 1000 lita moja tzsh 2000 tena maziwa fresh mazito.
 
Nikisema wewe FALA nakosea!?
Sasa huko kutokua na virutubishi ndio ukosefu wa chakula??
Au nitakua nabishana na tahira hapa!?
Mimi nazungumzia HUNGER AND FAMINE,sizungumzii virutubishi.
Na serikali ya Tanzania imeshachukua hatua ndio maana waziri wa kilimo hussein bashe aliukataa ule msaada.
Sasa hivi mchele wenye virutubishi asilia tunauzalisha wenyewe na TBS wanauthibitisha na unaingizwa sokoni.
Shida ya Tanzania ni mbili,kwanza vyakula vyenye virutubishi na pili ni elimu juu ya lishe bora.
Ila sio NJAA.
Kenya Muna NJAA.
Mjadala umekwisha naona unatoka nje ya mada.
 
kuandika maneno mengi haku-justify kwamba uko right mwenzako yuko wrong.
swali ni Je, munapokea msaada wa chakula ama hamupokei.... ? jibu swali, wacha kutapatapa na kunung'unika.
 
kuandika maneno mengi haku-justify kwamba uko right mwenzako yuko wrong.
swali ni Je, munapokea msaada wa chakula ama hamupokei.... ? jibu swali, wacha kutapatapa na kunung'unika.
Hatupokei msaada wa chakula.
Umeoneshwa mpaka ushahidi kupitia article yako umeona kuna sehemu WFP wamesema wanatoa food Aid Tanzania??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…