hapa hivi tunapost madude kama haya ππUnarukaruka kama maharage.
Kama wewe ulivyoshindwa kwenye ishu ya food security ndivyo wenzako walivyoshindwa kwenye ishu ya higher cost of living in Kenya.
Na wewe ni walewale.
Ngojea nikuache.
Kwenye food security nimekupa ushahidi wa mwisho na maelezo ya mwisho hukurudi tena.kimbia... kama kawaida yako, usitatize watu.
umeshindwa kwenye food security, access and reliability of electricity, sasa unataka ucharazwe kwenye cost of living.
you have many more poor people in your country, you live on less than a dollar a day, kunywa maziwa kwenu ni luxury, alafu unataka kushindana na Mkenya? ππ what a joke!
Huko umeshashindwa hakuna ubishani hapo tena.hapa hivi tunapost madude kama haya ππ
View attachment 3076503
nimeona unatafuta mwanya wa kuanza kuposti ajenda zako πππ.
pole sana.
nilikuuliza swali, ukaanza kuumauma meno, narudia tena, mulipokea msaada wa chakula? ndio au la?Kwenye food security nimekupa ushahidi wa mwisho na maelezo ya mwisho hukurudi tena.
Naona unataka kugeuza kibao.
Ulileta ripoti ya WFP kuwepo Tanzania mission yake inasema to improve food stability ila sio to provide food aid.
Tofautisha hivyo vitu viwili.
Nimekupa maelezo ukakimbia.
πππππBingwa wa ku twist mambo poleee.
Maziwa ni kitu cheap bongo.
Nipo Morogoro now kuna muda maziwa yanauzwa hadi 1000 tzsh kwa lita moja.
Je Kenya hilo linawezekana!??
Kalio wewe.
halafu railway yenyewe ni hii πHuko umeshashindwa hakuna ubishani hapo tena.
ππππUnafananisha jointed railway na continous welded railway!?
Makalio wewe.
Ona ulivyo mpumbavu.nilikuuliza swali, ukaanza kuumauma meno, narudia tena, mulipokea msaada wa chakula? ndio au la?
lete bei ya maziwa kutoka supermarket inayojulikana, mm siishi kijijini kama ww.
Kwa akili zako unadhani wataalam hawajui kuhusu hilo!??
Usiopoteze muda wako kujibizana na huyo jamaaπKwa akili zako unadhani wataalam hawajui kuhusu hilo!??
Hapo ni sehemu ambayo hurekebishika kiwepesi pia haina madhara kama hayo unayotaka kutuaminisha.
Karne hii kwanini mmejengewa reli ya SGR ambayo ni jointed rail!??
Yani hata narrow gauge yetu ni continous welded sio jointed kama SGR yenu.
Huwezi kufananisha utamu wa toyota corolla na toyota supra.hawa watu wako nyuma sana. wanasherehekea vitu ambavyo tumekua navyo hadi tukavichoka karne hii ππ
View attachment 3076638
πππ mwache ajilete tu. sasa hivi ataanza kuporomosha matusi baada ya kuzidiwa π€£π€£π€£Usiopoteze muda wako kujibizana na huyo jamaaπ
Bado una maumivu?ππππ mwache ajilete tu. sasa hivi ataanza kuporomosha matusi baada ya kuzidiwa π€£π€£π€£
maziwa bei ghali hivyo kumbe ndio maana munakunywa chai rangi???Huwezi kufananisha utamu wa toyota corolla na toyota supra.
Sgr Kenya sawa na toyota corolla halafu sgr Tanzania sawa na Toyota supra.
Hayo ni Asas whole milk nusu lita ni 1500tzsh lita moja 3000tzsh.View attachment 3076690
nani mgonjwa na nani anafaa kuuliza mwenzake? ππBado una maumivu?π
Mpaka leo unauguza maumivu tu?πnani mgonjwa na nani anafaa kuuliza mwenzake? ππ
ulipata tiba???Mpaka leo unauguza maumivu tu?π
Maziwa ghali kwenu sio kwetu.Hiyo bei everyone can affordmaziwa bei ghali hivyo kumbe ndio maana munakunywa chai rangi???
View attachment 3076746
here is Carrefour Supermarket π
View attachment 3076747
View attachment 3076748
View attachment 3076752
lete hapa statistical data ππ kwahio hata mimi nikikwambia kijijini kwetu napata lita moja kwa 20ksh, utaniamini???Maziwa ghali kwenu sio kwetu.Hiyo bei everyone can afford
Hayo umetaka ya super market.
πππππOna hii mbuzi,ila ukija kwa wafugaji kwa hiyo 53 ksh unapata lita moja.
vitu vinajionesha
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Mbongo mbongo tuuu.
Humu jf mnatamba utafikili TZ maisha kama Singapore vile au nepal.
Kumbe wala. ππ
π€£π€£π€£