Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Sawa ila tuko kwenye idadi ya abiria kwa miezi miwili tu abiria waliotumia sgr Tanzania ni zaid ya iliyotumika miezi miwili ya mwanzo kenya
tumia akili basi. ww unadhani Sgr Kenya imeanza leo ama jana?? Kenya tumeanza kutumia Sgr takriban miaka kumi iliopita..... nyinyi bado sana.
huu ni upepo tu unaopita πŸ‘‡πŸ‘‡

bado muko kwa stage ya kukenuakenua meno ili mupate experience. wengi wenu ni ma-joyriders, idlers na watu wa kujipiga ma-selfies na content creators.
ondoeni ushamba kwanza then we get down to business...
 
Kweli watanzania ni washamba ila mbona Kenya hata baada ya miaka kumi ya kutumia sgr Bado mwapiga picha ?
 
Kweli watanzania ni washamba ila mbona Kenya hata baada ya miaka kumi ya kutumia sgr Bado mwapiga picha ?
ni wapi umeona?
nimekutolea mfano tu jamaa alivyoaibika watu ni washamba yaani nusura treni ichelewa kuondoka kwa kujipiga ma-selfie
 
lete hapa statistical data 😁😁 kwahio hata mimi nikikwambia kijijini kwetu napata lita moja kwa 20ksh, utaniamini???
nilikutahadharisha kuja na kauli kama hizi πŸ‘‡πŸ‘‡
Sina cha kubishana hapa.
Kuna mambo sio ya kubishana maana utaonekana mpumbavu.
 
jamaa ni mbishi tu. typical bongolala, going round in circles!
Huyo unayemshabikia ameshajua kama alikosea.
Na alikua hajui nini anazungumza.
Labda nikuulize wewe,USA inaweza kuchapisha tu dola hovyo pasi na utaratibu???
 
Nauli pekee yake imewashinda...



anguko linakuja hivi karibuni.
 
Bado hauwez linganisha passenger trend ya sgr kenya na Tanzania .
Economicwise kwanza Bado sgr ya Kenya inaendeshwa na wachina kwa miaka Saba huku ya Tanzania ikiendeshwa na watanzania lakin efficiency yake pamoja
Nauli pekee yake imewashinda...
View attachment 3077572
View attachment 3077573
View attachment 3077574
anguko linakuja hivi karibuni.
Sasa haka kanauli ka ksh 1500 kamekimbiza wateja jaribu kuringanisha na ya bongo ambayo Kuna ya ksh 1400 na ksh 1800 na zote ziko full be booked mpaka jumatatu
 

Attachments

  • Screenshot_2024-08-23-23-54-36-50_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    439.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-08-23-23-54-37-79_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    439.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-08-23-23-54-45-22_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    382.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-08-23-23-54-53-49_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    545.5 KB · Views: 3
Nauli za treni yetu ni cheaper kuliko za Kenya.
 
Nauli za treni yetu ni cheaper kuliko za Kenya.
Yao ilikuwa cheaper wakat wanaanza ilikuwa ksh 1000 Sasa umepanda mpaka 1500 sawa na kama 31000 Tsh wateja wamehepa wakat sisi business class ambayo inaanzia na 70000 ndo inaaanzaga kujaaa kabla economy kuishia, hapo Bado wanajiona middle income wakat wanayarudia mabas kwa kas ya ajabu
 
Japo pia wanalalamika kwamba licha ya treni kuwa bei kuliko hata tiketi ya ndege,treni yenyewe still inaenda mwendo ambao mdogo usiposhana sana na basi halafu pia haina comfortability.
 
ww subiri ripoti ya Cag mwakani.... haiwezekani mtu unalipa buku, unafululiza dar mpaka dodoma... 😁😁
 
Kweli hakuna middle class lakin at least hatushindwi kulipa treni ya 1500 nyinyi mmepandishiwa Bei kidogo ndani ya miezi miwili 62000 passengers wamepungua baada ya miezi SI mtapunguza milioni kabisa
hamuna middle class. Tanzania ni nchi ya wanyonge 😁😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…