Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
tumia akili basi. ww unadhani Sgr Kenya imeanza leo ama jana?? Kenya tumeanza kutumia Sgr takriban miaka kumi iliopita..... nyinyi bado sana.Sawa ila tuko kwenye idadi ya abiria kwa miezi miwili tu abiria waliotumia sgr Tanzania ni zaid ya iliyotumika miezi miwili ya mwanzo kenya
huu ni upepo tu unaopita 👇👇
bado muko kwa stage ya kukenuakenua meno ili mupate experience. wengi wenu ni ma-joyriders, idlers na watu wa kujipiga ma-selfies na content creators.
ondoeni ushamba kwanza then we get down to business...