Kina NairobiWalker hao wanajenga ghorofa na Isuzu pick up π€£π€£π€£
View: https://youtu.be/f3uhsLvdtz0?si=SOLebhXa4WwLHLzCTuendelee kujikumbusha kutoka kwa mainjinia toka kenya
Duuu aiseekilaza ww ππ
View attachment 3081702
Wakenya ndo huwa wanajilinganisha na Tanzania.
On 1st picture, what is the source? Post the full report in which that table was published.Mkali,, mbona mambo kama haya tulishayajadili hapa kwa marefu na mapana... jaribu kuwauliza wenzako watakuambia.
kwa kifupi hebu jaribu kutizama hapa chini kisha ujijazie π
View attachment 3071925
halafu hebu ona mambo yenyewe sasa kwenye reli ya Kenya π
View attachment 3071929
Mambo ya purchasing power ya currency hayo somo hili huwa gumu sana kwa wakenya.
Purchasing power in Tz ni kubwa kuliko Kenya.
ok. as you say πOn 1st picture, what is the source? Post the full report in which that table was published.
On 2nd picture, container operations haven't yet started on Tanzania SGR. We are doing passengers only now. The link to the port is still under construction.
endelea kujidanganyaHalafu hana hata pesa huyo,hana lolote majigambo mengi akaunt ya pesa sifuri.
hebu post picha yake hapa nataka kuona kitu.Umeoneshwa locomotive ya 6800hp wewe unacheka leta yenu yenye power kama hiyo tuone.
Otile ana pesa gani weweee!??endelea kujidanganya
πππ rudia tena, hamuna nn?Wakenya ndo huwa wanajilinganisha na Tanzania.
Tanzania hatunaga huo ujinga wa kujilinganisha na Kenya, ila huwa tunawaelimisha wakenya pale wanapoongea ujinga kuhusu Tanzania.
nimekwambia endelea kujidanganya ww mbona huskii? ππOtile ana pesa gani weweee!??
Tukianza kushindanisha wasanii wa Tanzania Otile brown anatoka kwa nani!??
Labda tumfananishe na Shilole shishi food.
ndivyo walivyo hawa... ubishi mwingi tu ππ kichwani ni Zero.... yaani Sifuri πDuuu aisee
Utake usitake Otile he has nothing to compare with Tanzanian singers.nimekwambia endelea kujidanganya ww mbona huskii? ππ
endelea kujijaza ujinga. mwenzako nilimweka sawa hapa juzi, mwisho wa siku alikuja kuomba msamaha ππMambo ya purchasing power ya currency hayo somo hili huwa gumu sana kwa wakenya.
Purchasing power in Tz ni kubwa kuliko Kenya.
endelea kujifurahisha moyo wako.Utake usitake Otile he has nothing to compare with Tanzanian singers.
Endelea na mada huko juu.endelea kujifurahisha moyo wako.
hadithi fupi tu πππYaan mkashindwa kununua kizibio Cha ksh 1000 mpaka muue watu 100 halafu kazi kujisia hapaEstablished: Cause of Sinai fire tragedy
The Sinai fire tragedy in which 100 people died and 160 injured was caused by a leaking gasket costing less than Sh1,000, investigations reveal.nation.africa
View: https://youtu.be/Ipw-tpBkjYE?si=0SnCS2RJL_jAzE54Bila 170,000 au ksh 8095 usiguse mlango
Hapa wakenya lazima wanyambe Mafi hawagusi mlango
View: https://youtu.be/QYnWUszEoZ0?si=oKsi9oaxOWVD_TNz
Chuma hii hapa na hapo mbele number yake ya utambulisho imeandikwa horse power.hebu post picha yake hapa nataka kuona kitu.
isiwe tunabishania vitu vilivyopo na ndoto zako πππ
Na hii hapa π ya MGR inavuta behewa 100 na speed yake ni 120kphhebu post picha yake hapa nataka kuona kitu.
isiwe tunabishania vitu vilivyopo na ndoto zako πππ