Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mkali,, mbona mambo kama haya tulishayajadili hapa kwa marefu na mapana... jaribu kuwauliza wenzako watakuambia.
kwa kifupi hebu jaribu kutizama hapa chini kisha ujijazie 👇
View attachment 3071925
halafu hebu ona mambo yenyewe sasa kwenye reli ya Kenya 👇
View attachment 3071929
On 1st picture, what is the source? Post the full report in which that table was published.

On 2nd picture, container operations haven't yet started on Tanzania SGR. We are doing passengers only now. The link to the port is still under construction.
 
Yaan mkashindwa kununua kizibio Cha ksh 1000 mpaka muue watu 100 halafu kazi kujisia hapa
Mambo ya purchasing power ya currency hayo somo hili huwa gumu sana kwa wakenya.
Purchasing power in Tz ni kubwa kuliko Kenya.

View: https://youtu.be/Ipw-tpBkjYE?si=0SnCS2RJL_jAzE54
Bila 170,000 au ksh 8095 usiguse mlango
Hapa wakenya lazima wanyambe Mafi hawagusi mlango

View: https://youtu.be/QYnWUszEoZ0?si=oKsi9oaxOWVD_TNz
 
ok. as you say 👇
C8yu0eDV0AAdsWA.jpeg
 
Umeoneshwa locomotive ya 6800hp wewe unacheka leta yenu yenye power kama hiyo tuone.
hebu post picha yake hapa nataka kuona kitu.
isiwe tunabishania vitu vilivyopo na ndoto zako 😁😁😁
 
Wakenya ndo huwa wanajilinganisha na Tanzania.

Tanzania hatunaga huo ujinga wa kujilinganisha na Kenya, ila huwa tunawaelimisha wakenya pale wanapoongea ujinga kuhusu Tanzania.
😁😁😁 rudia tena, hamuna nn?
GVbXsEBWkAALqR0.jpeg
 
Otile ana pesa gani weweee!??
Tukianza kushindanisha wasanii wa Tanzania Otile brown anatoka kwa nani!??
Labda tumfananishe na Shilole shishi food.
nimekwambia endelea kujidanganya ww mbona huskii? 😂😂
 
Mambo ya purchasing power ya currency hayo somo hili huwa gumu sana kwa wakenya.
Purchasing power in Tz ni kubwa kuliko Kenya.
endelea kujijaza ujinga. mwenzako nilimweka sawa hapa juzi, mwisho wa siku alikuja kuomba msamaha 😂😂
IMG_20240825_182935.jpg
 
Yaan mkashindwa kununua kizibio Cha ksh 1000 mpaka muue watu 100 halafu kazi kujisia hapa

View: https://youtu.be/Ipw-tpBkjYE?si=0SnCS2RJL_jAzE54
Bila 170,000 au ksh 8095 usiguse mlango
Hapa wakenya lazima wanyambe Mafi hawagusi mlango

View: https://youtu.be/QYnWUszEoZ0?si=oKsi9oaxOWVD_TNz

hadithi fupi tu 👇👇👇
GAFe9eUXAAAWqcT.jpeg

GATl8H4W4AEzrIM.jpeg

GATl8nkWsAAAyU4.jpeg

GAFe9-tWMAAIXMA.jpeg

GAGsOKdXAAAR1q1.jpeg

GAHsG9ZWsAAyVGm.jpeg

GAMGHnAWcAA2ltv.jpeg
 
Back
Top Bottom