Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Tunajitahidi kukuelewasha sio nje ya mada, maana una kichwa kigumu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani umeleta vitu havifanani halafu useme unajitahidi kunielewesha!??
Aisee hii ni noma!?
Kwahiyo kisa engine imewekewa kikomo cha mwendo fulani basi reli ndio haina uwezo wa ku accomodate mwendo zaidi ya huo!??
Hii elimu sijui nani amekupa aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Nchini Malaysia CRRC walijenga meter gauge railway ya kisasa kabisa, tena ipo na umeme.
Ulifanya test treni ikatembea speed ya 160km/h.
But speed yao maximum ni 120km/h tena hio ya abilia sio ya mizigo. Kuna kipindi walikuwa wanaenda kwa speed 140km/h wakaona ni risk sana 😒.
Kwa sasa inaenda speed ya 100 mpk 110km/h hio ya abilia tena ya kisasa.
"Wewe kwa nini unafikili kwa nini hawaendi na hio speed ya 160km/h. Wakati inaruhusu na reli mpya???????"
 
Reli imejengwa kwa ufanisi wa kuruhusu mwendo wa kiasi gani!??
 
Lete ushahidi duniani kokote kule meter gauge railway ya mizigo inaenda speed ya 120km/h. Tena na mabehewa 100.

Kokote kule duniani. Lete mkuu.
Mkuu mbona hyper!??
Chombo ndio kina huo uwezo ila reli ndio hairuhusu.
Kama hiyo engine ingewekwa kwenye broad gauge basi ingetembea hiyo speed.Ila reli hairuhusu hiko chombo kutembea huo mwendo.
 
Sasa hapo ndio yale nilozungumzia kule.
Chombo kina uwezo wa kutembea mwendo wa hadi 160kmph,ila tuje kwenye specification za reli,je reli itairuhusu hiyo chombo itembee kwa hiyo speed!?
Jibu hapana haitaruhusu.
Ila ukichukua hiko chombo ukikiweka katika reli ya SGR kinatembea huo mwendo.
Ndio sawa na jamaa kule juu alikua anazungumzia ufanisi wa ile engine sio reli.
Ni sehemu ndogo sana kaka tunashindwa kuelewana.
 
Mkuu mbona hyper!??
Chombo ndio kina huo uwezo ila reli ndio hairuhusu.
Kama hiyo engine ingewekwa kwenye broad gauge basi ingetembea hiyo speed.Ila reli hairuhusu hiko chombo kutembea huo mwendo.
Mkuu nimesema leta ushahidi sio hapa TZ , sehemu nyingine duniani kuwa MGR inaenda speed ya 120km/h tena ya mizigo sio hapa TZ.
 
Mimi nimekuuliza swali juu unakwepa
Sijakwepa swali ila jibu lako lipo ndani ya hilo swali.
Maana bro ni sehemu ndogo sana unashindwa kuielewa.
Kuwa kuna uwezo wa chombo na ufanisi wa reli kuruhusu mwendo wa chombo juu yake.
Metre gauge haina ufanisi wa kuruhusu high speed engines kutembea juu yake.
Ndio maana standard gauge na broad gauge zikaundwa kwaajili hiyo.
Na zilipoundwa engine zenye speed zaidi wakaunda Maglev rails.
 
Yani sisi wabongo tunapenda usanii sana.
Ndo yale yale kina masanja kadogosa kutuambia SGR train zina battery umeme ukizima treni linaenda kwa kwa umbali flani.
Akaja kuumbuka.

Your browser is not able to display this video.

Mwishoni wakatundanganya tena ngedere na bundi walisababisha


Mpaka watu waliamini kuwa treni lina πŸ”‹ battery
 
MGR reli ama chombo!??
Kuwa specific.
Wewe unavyoonekana hujui kwa nini kuna gauge tofauti kwenye njia za reli, unaonekana huna maarifa haya mkuu.
Na kwanini nchi nyingi wanatoka kwa meter gauge kwenda kwenye standard gauge na broad gauge .
India wao ndo kabisa wanatumia sana broad gauge ni kama USA.
 
Najua na nafahamu kwanini kuna gauge tofauti ila kuna jambo inaonekana mgumu kulielewa bro.
Kama ningekua sifahamu nisingeeleza utofauti wa ufanisi wa metre gauge,standard gauge,broad gauge na maglev.
Hizo gauge kila moja ina ufanisi wake wa kuruhusu chombo kitembee kwa mwendo kiasi gani
.
Ndio maana hata ulipoleta mfano wa Indonesia sijui Malaysia nilikujibu metre gauge haina ufanisi wa kuruhusu mwendo kasi wa hali ya juu.
Ila treni ile ile ukiiweka katika standard gauge au broad gauge inatembea mwendo ule unaotakikanika wa hali ya juu.

Nikarudi kwa jamaa kule juu kuhusu ile engine kuweza kuvuta mabehewa 100 na mwendo wa 120kph.
Ile engine hizo ndio specification zake,ila kwasababu reli yetu haina ufanisi huo hio engine haiwezi kutembea mwendo huo.
Bro usipoelewa hapa hallelujah uwe na wakati mwema.
 
Mimi nadhan hujamwelewa , anachomaanisha ni kuwa engine za trc zinauwezo wa kutembea spidi ya mpaka 140km/hr ila kutokana reli ya mgr kutokuwa na uwezo wa kuhimili hiyo speed haziwezi kutembea kwa hiyo speed maana reli inahimili speed ya 70km/hr ila ukikichukua kichwa kama hicho ukakipeleka kwenye reli inayohimili speed hiyo kitatembea tu
 
Kaka ahsante kwa kumuelewesha.
Asipoelewa na hapo ni basi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…