Mbona Museveni hataji Tz SGR kwa hotuba yake ndani ya hii video, anaongelea tu kuhusu Kenya na Malaba π
Umehamia huku, Kule kwingine vyuma vimekaza. πMalaba hio isahau yeye anataka port bell ndio itumike na mizigo itokee mwanza na kisumu hapo ndipo tutawanyoosha vzrπππππππ
Nipo kokote na nitawanyoosha kokote pale πππππππUmehamia huku, Kule kwingine vyuma vimekaza. π
Wakenya wamekufanya kujua kuwa kuna nyuzi zingine Bali na ile ya your fishing village. Nyang'au ni wabaya sana wanafanya Watu wawe dynamic. Karibu lakini.Nipo kokote na nitawanyoosha kokote pale πππππππ
Kujua kuna nyuzi zingine najua na hua nahudhuria vile nitakavyo mumeamua kukimbia mziki wa darπππππWakenya wamekufanya kujua kuwa kuna nyuzi zingine Bali na ile ya your fishing village. Nyang'au ni wabaya sana wanafanya Watu wawe dynamic. Karibu lakini.
Hatutambui kijiji cha kuvulia samaki. Kule umeshikwa na upweke ikakubidi utafute nyuzi zingine...hehehe you very predictable for a man...bure kabisa.Kujua kuna nyuzi zingine najua na hua nahudhuria vile nitakavyo mumeamua kukimbia mziki wa darπππππ
Kwani mada hii ililetwa na mkenya hum?Wakenya wamekufanya kujua kuwa kuna nyuzi zingine Bali na ile ya your fishing village. Nyang'au ni wabaya sana wanafanya Watu wawe dynamic. Karibu lakini.
Mumekimbia mziki mkubwa wengi wenu mulijuani ile dar ya 90sππππHatutambui kijiji cha kuvulia samaki. Kule umeshikwa na upweke ikakubidi utafute nyuzi zingine...hehehe you very predictable for a man...bure kabisa.
A difference of 40km ndio unaita high speed, pia nyinyi ni slow electric non functional train,the only thing worth noting about your sgr is the priceSlow speed diesel train SGR!
from Dodoma the PAX train will go above 160km/h!A difference of 40km ndio unaita high speed, pia nyinyi ni slow electric non functional train,the only thing worth noting about your sgr is the price
Jionee tofauti hamna tuta la kipumbavu!Kenyan SGR na Chinese high speed zote zimejengwa sawa...tofauti ni trains pekee but infrastructure ni same.
Hiyo yenu inakaa zile outdated za USA especially infrastructure.
Sio mchezo, spill off effect za Stieglers Gorge project zinaanza kuonekana...
Hii inavyokaa Zambia wanaweza wakajikuta umiliki wao unapingua! kama Tanzania ina-invest halafu wao wanagoma!Sio mchezo, spill off effect za Stieglers Gorge project zinaanza kuonekana...
Bado iko 70s hata 80s ya Nairobi hamfiki.Mumekimbia mziki mkubwa wengi wenu mulijuani ile dar ya 90sππππ
Mshakuwa wazimu yani mnajiongelesha tu...sisi ndio kusema kule nyie ni kutii tu.Kwani mada hii ililetwa na mkenya hum?
Kule hatutaki Vilaza
Kwanza pametulia saafi
40km per hr ni difference kubwa sana mzee na from moro to dom itakwenda mpaka 200km per hr ππππA difference of 40km ndio unaita high speed, pia nyinyi ni slow electric non functional train,the only thing worth noting about your sgr is the price
Kenya SGR attendants serving on China's High speed train in-order to learn best practices
Inaitwa maji kuzidi ungaπ6 Chinese and 4 Kenyans.......what!??
Why do Chinese have to take non technical jobs?
60% : 40%6 Chinese and 4 Kenyans.......what!??
Why do Chinese have to take non technical jobs?
I Think that is in China, May be they are training. I see the train Car no 8 is for WUHAN STATION TO BEIJING WEST STATION6 Chinese and 4 Kenyans.......what!??
Why do Chinese have to take non technical jobs?