kuna kipi cha ajabu huko?Karibu T-Zed Jirani.
Tanzania nashindwa je kujenga la hivi kivukoni?Coming π
View attachment 3096233
Kweli kabisa wana kila kitu ila ni very poor kiakili na kiuchumiTanzania bado sana aisee. ipe miaka kama salasini ndio iweze kufika hapo.
Fresh chief, vipi wewe
Treni ya umeme na hanging bridges πkuna kipi cha ajabu huko?
ile ya kukwamakwama kutwa kucha? ππTreni ya umeme na hanging bridges π
walisema hawatatubishia mlango kutudai lakini kila dakika wananiletea ujumbe, "Lipia Sgr", "Lipia Sgr"Fresh chief, vipi wewe
stop daydreaming!!! tunnel gani under the sea wakati hata flyover pekee yake imewashinda?Pale kivukoni inatakiwa tunnel under the sea. Daraja litahitaji approach kubwa na itabidi liwe juu sana maana isije ikaleta limitation meli kupita chini yake.
Usibishane na huyu mpuuzi. Mwache aendelee kujifurahisha.Pale kivukoni inatakiwa tunnel under the sea. Daraja litahitaji approach kubwa na itabidi liwe juu sana maana isije ikaleta limitation meli kupita chini yake.
hapa hakuna kuchekeshana. tunaweka mambo sawa. we're living in a real world... not some kind of utopia.Usibishane na huyu mpuuzi. Mwache aendelee kujifurahisha.
Wacha upuuzi wako kamanda hautakufikisha mbali.hapa hakuna kuchekeshana. tunaweka mambo sawa. we're living in a real world... not some kind of utopia.
ugua pole ππWacha upuuzi wako kamanda hautakufikisha mbali.
Siugui pole hata kidogo.ugua pole ππ
una matatizo ya akiliSiugui hata kidogo.