Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #1,821
Aawapiii kumbuka walipewa machine na manuals zina instructions kwa kichina! So inawezekana ikawa ni Nairobi hii!I Think that is in China, May be they are training. I see the train Car no 8 is for WUHAN STATION TO BEIJING WEST STATION
Yenu ?ujenzi umekamilika?Slow speed diesel train SGR!
Bado.. kwani ile phase 2B na phase 2C zenu zimeshakamilika. Bila kusahau phase 2A, na vipi mchina amekubali kutoa pesa za phase zilizo bakia. Hapa naongelea phase 2B kuendelea mpaka phase 3C achana na phase 4B mpaka 5C ambapo mpaka M7 mme mpa kazi ajenge upande wenu. Hivi mpaka kufika Kigali mlikua mmeipa jina gani!? Phase 10E au...... nijibu taratibu Jane, U kno i like the way you talk to me.Yenu ?ujenzi umekamilika?
Leo nipo free, sijatoka home. ningekua Nai ningekwambia come kwa keja!! [emoji23] .. nipe majibu ya phase 2A mpaka 10E manzi wangu wa Nairobi.thisdayes Heheheeeehe.wewe hupendi kusumbuliwa. Kibarua kinakungoja. Unaweza bishana nami milele. Cool boy!
2a
Hiyo sheng' joh! Nani alikuonyesha hii lugha?Leo nipo free, sijatoka home. ningekua Nai ningekwambia come kwa keja!! [emoji23] .. nipe majibu ya phase 2A mpaka 10E manzi wangu wa Nairobi.
Hii maneno naijuanga siku mingi! Si ndiyo ukamu kwa keja, uni rescue na hii njeve ya leo [emoji23] [emoji23]Hiyo sheng' joh! Nani alikuonyesha hii lugha?
That picture was taken in china, walikua wameenda huko on an educational tour kujifunza best practices in customer services na walifanya practices yao ndani ya china's 350km/hr G555 high-speed train from Beijing to Wuhan.6 Chinese and 4 Kenyans.......what!??
Why do Chinese have to take non technical jobs?
Unaona utamu kutaja hiyo speed ya train ya wanaume [emoji23]! Jamaa wana roho mbaya wangewajengea ata ambayo ingeenda nusu ya hiyo ya kwao. Itatuuma sana wa Tz tuta zoea kupanda train ya 160km/hr then tukija Kenya tunapanda ya 110km/hr! Imagine tutakavyo kua tuna boreka..That picture was taken in china, walikua wameenda huko on an educational tour kujifunza best practices in customer services na walifanya practices yao ndani ya china's 350km/hr G555 high-speed train from Beijing to Wuhan.
Source
Bullet train ni kuanzia 250km/hr!!!!! usijaribu kulinganisha hio bullet train na treni zetu za 120km/hr na 160km/hr!! Reli ya Kenya imejengwa na bussiness model ya 5% passenger service 95% cargo business revenue..Unaona utamu kutaja hiyo speed ya train ya wanaume [emoji23]! Jamaa wana roho mbaya wangewajengea ata ambayo ingeenda nusu ya hiyo ya kwao. Itatuuma sana wa Tz tuta zoea kupanda train ya 160km/hr then tukija Kenya tunapanda ya 110km/hr! Imagine tutakavyo kua tuna boreka..
umegundua kitu hapoππππππππSGR line through Nairobi national park.View attachment 971692
Mkuu umegundua kitu muhimu sana.. zi zoom zote mbili halafu zifungulie uzi tuzi discuss kwa kina!! Wakenya wamepigwa mno
Sijasema wawejengee bullet train.. wange ongeza kidogo angalau iwe kama ya kaka yenu Tz. Halafu average speed ya SGR Msa-Nai ni 110 siyo 120 kama ilivyo paswa kuwa. Tofauti ya 40 ni kubwa sana kwa safari km 500 train ya Tz itachukua masaa 3 wakati yenu itachukua masaa 4. As the journey gets longer the gap widens.Bullet train ni kuanzia 250km/hr!!!!! usijaribu kulinganisha hio bullet train na treni zetu za 120km/hr na 160km/hr!! Reli ya Kenya imejengwa na bussiness model ya 5% passenger service 95% cargo business revenue..