Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

I Think that is in China, May be they are training. I see the train Car no 8 is for WUHAN STATION TO BEIJING WEST STATION
Aawapiii kumbuka walipewa machine na manuals zina instructions kwa kichina! So inawezekana ikawa ni Nairobi hii!
 
SGR line through Nairobi national park.
216cc55cead0217991778484ae1c36c0.jpeg
 
Yenu ?ujenzi umekamilika?
Bado.. kwani ile phase 2B na phase 2C zenu zimeshakamilika. Bila kusahau phase 2A, na vipi mchina amekubali kutoa pesa za phase zilizo bakia. Hapa naongelea phase 2B kuendelea mpaka phase 3C achana na phase 4B mpaka 5C ambapo mpaka M7 mme mpa kazi ajenge upande wenu. Hivi mpaka kufika Kigali mlikua mmeipa jina gani!? Phase 10E au...... nijibu taratibu Jane, U kno i like the way you talk to me.
 
6 Chinese and 4 Kenyans.......what!??

Why do Chinese have to take non technical jobs?
That picture was taken in china, walikua wameenda huko on an educational tour kujifunza best practices in customer services na walifanya practices yao ndani ya china's 350km/hr G555 high-speed train from Beijing to Wuhan.

5b4f9aa2a310796d8b4c646d.jpeg

5b4f9aa2a310796d8b4c6473.jpeg

5b4f9aa2a310796d8b4c6475.jpeg

5b4f9aa2a310796d8b4c6477.jpeg

5b4f9aa2a310796d8b4c6479.jpeg

Source
 
Unaona utamu kutaja hiyo speed ya train ya wanaume [emoji23]! Jamaa wana roho mbaya wangewajengea ata ambayo ingeenda nusu ya hiyo ya kwao. Itatuuma sana wa Tz tuta zoea kupanda train ya 160km/hr then tukija Kenya tunapanda ya 110km/hr! Imagine tutakavyo kua tuna boreka..
 
Bullet train ni kuanzia 250km/hr!!!!! usijaribu kulinganisha hio bullet train na treni zetu za 120km/hr na 160km/hr!! Reli ya Kenya imejengwa na bussiness model ya 5% passenger service 95% cargo business revenue..
 
Sijasema wawejengee bullet train.. wange ongeza kidogo angalau iwe kama ya kaka yenu Tz. Halafu average speed ya SGR Msa-Nai ni 110 siyo 120 kama ilivyo paswa kuwa. Tofauti ya 40 ni kubwa sana kwa safari km 500 train ya Tz itachukua masaa 3 wakati yenu itachukua masaa 4. As the journey gets longer the gap widens.
 
Back
Top Bottom