Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

mchongoko uko vizuriii mazee....nimepiga haja zote mlee na nimejihisi vizuri sana kama mtanzania mlipa ushuruu....ila tuekewe maji ya kutawaza mleee, sio unatoka kwa mchongoko ukinuka mafwiii ...hasa apo maeneo ya puguuu
pole kaka kwa yaliyokukuta. i hope very soon watarekebisha 😁😁
 
Hehehehe aisee wakenya Kwa kujifarijii.
Tanzania tujifunze nini toka reli ya Kenya!?
Hiyo reli jointed welded ambayo inatumia engine za dizeli!??
Kuwa fence fupi ndio kitu kusema Kenya mmetuzidi!??
Unaugua wewe.
cheki hapa πŸ‘‡πŸ‘‡
 
kisha uache ushamba!
America kote huko wanatumia 'dizeli' mpaka Australia, nyinyi mumewazidi nini eti kwa mfano?
 
kisha uache ushamba!
America kote huko wanatumia 'dizeli' mpaka Australia, nyinyi mumewazidi nini eti kwa mfano?
Unazungumzia habari za USA na Australia!?
Hujui kama dunia inaenda kasi na hao uliowataja wanaachwa mbali!?
Unapozungumzia miundombinu ya kisasa ya reli duniani huwezi ukamuweka USA wala Australia.
Top 3 utataja China,Japan na Germany.
Uache kukariri maisha mbung'o wewe.
Endelea kujifarijii.
 
kwamba mumewaacha USA na Australia mbali kwa miundo mbinu ya kisasa sio???
Aiseee 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Pole wewe.
Tanzania imekuja kutizama utendaji na uendeshaji and not other wise kwenye hiyo outdated rail system.
swali ni 'walikuja au hawakuja???'
tena kwenye reli inayotumia 'dizeli' at the expense of the taxpayers money.
 
kwamba mumewaacha USA na Australia mbali kwa miundo mbinu ya kisasa sio???
Aiseee 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Ona huyu nini anaongea!!
Mie nazungumzia miundombinu ya reli.
 
Nadhani umeelewa nini nimekusudia ila unakaza fuvu na reli yako outdated.
kama mumepigwa kubali kua mumepigwa. sio kila siku vijisababu mara ngedere mara bundi.... imekua too much now!
 
kama mumepigwa kubali kua mumepigwa. sio kila siku vijisababu mara ngedere mara bundi.... imekua too much now!
Tumepigwa na nani!?
Nini maana ya kupingwa!?
Yani ukitizama reli yetu ufanisi na reli yenu vinafanana!??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wacha kula miraa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…