Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
Wacha kujipatia entitlement yenye hakuna. Kwamba wewe ni Mtanzania so automatically unakuwa Mswahili?Hivi mimi mswahili nisijue maana ya masika!?
Tanzania ina misimu miwili ya masika,mwanzo mwa mwaka na mwisho mwa mwaka.
Kama hujui kitu, kubali ili ufunzwe, upate kuelewa. La sivyo utazidi kuumbuka hapa kila siku kisha unaingia mitini (unatoroka).
wacha tu nikufungue macho kidogo,,
kuna misimu minne kila mwaka na msimu wa masika ni moja kati yao.