Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
😁😁😁Nikionyesha Wakunya walikuwa wa kwanza kufanya Benchmarking SGR TZ utajibu nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁Nikionyesha Wakunya walikuwa wa kwanza kufanya Benchmarking SGR TZ utajibu nn?
Aawapi mlikuja SGR Tanzania kabla ya sisi kuja huko kwenu!
kuja kuangalia something that was non-existing... lete hapa evidence.Aawapi mlikuja SGR Tanzania kabla ya sisi kuja huko kwenu!
Waambie waboreshe na maslahi ya wafanyakazi wao.. sio wafanyakaz wanaishi kama vibarua wa viwandani wakati nje wanajionyesha wanapata faida na kuwatunuku hadi wasanii pesa za kijinga jinga
fafanua mkuu 😁😁😁Waambie waboreshe na maslahi ya wafanyakazi wao.. sio wafanyakaz wanaishi kama vibarua wa viwandani wakati nje wanajionyesha wanapata faida na kuwatunuku hadi wasanii pesa za kijinga jinga
Mambo ni mengi kwenye hilo shirika mkuu.. wafanyakazi wao tuko nao mtaani uku kila siku wanalalamika tu kuhusu hilo shirika kuanzia mishahara ilivyo midogo mpaka malipo ya mengine ya maslahi ya wafanyakaz..fafanua mkuu 😁😁😁
ila nimekwazika sana na hii aya...Sasa njoo kwa wastaafu ndio kabisa huwa hawachukui time baada kustaafu.. Yan shirika halina hata kiinua mgongo cha wafanyakazi wanapostaafu..
Hujakosea kabisa ni kweli reli ya sasa wafanyakazi wake wana hali ngumu sana.Mambo ni mengi kwenye hilo shirika mkuu.. wafanyakazi wao tuko nao mtaani uku kila siku wanalalamika tu kuhusu hilo shirika kuanzia mishahara ilivyo midogo mpaka malipo ya mengine ya maslahi ya wafanyakaz..
Sasa njoo kwa wastaafu ndio kabisa huwa hawachukui time baada kustaafu.. Yan shirika halina hata kiinua mgongo cha wafanyakazi wanapostaafu..
Sasa huwa nashangaa linavyojifunua kwamba lina mapato wakati wafanyakazi wao wanapigika uku mtaan kama wanafanya kazi kibaruani
keshachukua nini?? 😁😁Nyimbo zitasaidia nini wakati Adani keshachukua?