BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Jealousy itakumaliza wewe jizee,Exactly as if it was going at an average speed of 120km/h then it would have taken 3 hrs for Mombasa-Nairobi journey.
We waache wasubiri 2020 then na hapa watahamaJealousy itakumaliza wewe jizee,
Siku ya testing maximum speed ilifika 157km/hr....Sijui mbona huwa mko na wivu za wamama nyinyi
I can show you evidence of ME going at beyond 130km/hr... but b4 I even do that... could you just pretend to be in class/grade 4 and do a simple calculation of 609km of track length decide by 5 hours and tell me the answerPoint of correction it is "maximum speed"! when u say average speed u mean that mtambo wa chang'aa can go above 120km/h. The truth is it goes at 110km/h as Maximum speed!
See the truth here was already discussed before with facts provided.
Bandari ya Mombasa inafanywa upanuzi wa $1B mbali na Dry port ya Nairobi na nyengine zitakazojengwa Voi,Naivasha,Kisumu... kwa kifupi youβll never catch up with Mombasaβs level of efficiency!Wewe unafkiri tumeekeza 350m usd kupanua bandari ya dar es salaam unafkiri tunafanya maigizo hehhehe endelea kuota hvo hvoπππ
Why should high speed train have a bridge like that? Ebu nionyeshe bridge elevated namna hiyo high speed train Shanghai-Ghangzhou!
SGR ya Kenya ni akili ya punda! Yetu phase I na phase II zina 95 n 80 km parallel lines!let assume that the sgr line in kenya is very busy that you need another line, will you again start constructing those unnecessary expensive bridges for the second line?
Inafanyiwa upanuzi wapi??? πππ mombasa nimetoka jana tu wapi wanafanya upanuzi ???Bandari ya Mombasa inafanywa upanuzi wa $1B mbali na Dry port ya Nairobi na nyengine zitakazojengwa Voi,Naivasha,Kisumu... kwa kifupi youβll never catch up with Mombasaβs level of efficiency!
Leta ushahidi hapa bolt jointed rail upeleke 150 unafkiri ni kama kula githeri πππJealousy itakumaliza wewe jizee,
Siku ya testing maximum speed ilifika 157km/hr....Sijui mbona huwa mko na wivu za wamama nyinyi
Hii picha ya Uchina inakuonyesha hayo hufanywa , mahali SGR Kenya inapitia kuna 100m reserve kwahivyo nafasi ya kuongea another design ikolet assume that the sgr line in kenya is very busy that you need another line, will you again start constructing those unnecessary expensive bridges for the second line?
Hua inafanya niskie karaha mkiamua kufikiria maendeleo yanafanyika Tz pekee na Kenya imelala....Inafanyiwa upanuzi wapi??? πππ mombasa nimetoka jana tu wapi wanafanya upanuzi ???
Unajipa sana matumaini usifkiri hii ni ile tz ya 90s sahau hio kwa taarifa yako mtwara tushapanua kwa ajili ya kuserve mozambique na part of zambia and malawiHua inafanya niskie karaha mkiamua kufikiria maendeleo yanafanyika Tz pekee na Kenya imelala....
Berth no 21 ilikamilika na kuanza kufanya kazi 2017... Iko na capacity ya 500,000 TEU ambayo ni karibia Sawa na mizigo yote ya bandari ya Dar!!
Ujenzi wa berth number 22 unaanza 2019 capacity yake itakua 450k TEUs
Berth 21 Nov 2016
View attachment 978791
Tuoneshe ni wapi china kaacha reserve kama hio??? Hahaha ππππ ni lazma muingie gharama kutengeneza new expensive bridges usisahau hioHii picha ya Uchina inakuonyesha hayo hufanywa , mahali SGR Kenya inapitia kuna 100m reserve kwahivyo nafasi ya kuongea another design iko
View attachment 978751
Anyway, Lamu port inajengwa Kwa sasa, ikikamilika tutakua na bandari ambayo inatarajiwa kupunguza mizigo ya Mombasa .... Kwahivyo reli ya Kutoka Lamu itajengwa mwanzo kabla tufikirie kujenga reli ya pili kutoka Mombasa .....
Dar port has clocked 20mln tonnes at the moment only a stupid can compare the port to 500,000 TEU capacity!Hua inafanya niskie karaha mkiamua kufikiria maendeleo yanafanyika Tz pekee na Kenya imelala....
Berth no 21 ilikamilika na kuanza kufanya kazi 2017... Iko na capacity ya 500,000 TEU ambayo ni karibia Sawa na mizigo yote ya bandari ya Dar!!
Ujenzi wa berth number 22 unaanza 2019 capacity yake itakua 450k TEUs
Berth 21 Nov 2016
View attachment 978791
πππ huyo jamaa bado anawaza tz ya 90sDar port has clocked 20mln tonnes at the moment only a stupid can compare the port to 500,000 TEU capacity!
No Ni ugonjwa wa ku-belittle gains of a competitor in a belief all is well with their white elephant project in Kenya! A self denial per se! BTW I have realised their media is pretty mute having seen the real threat! Before they had the same mentality!πππ huyo jamaa bado anawaza tz ya 90s
Waikati Upanuzi wa bandari yenu kubwa ya Dar inapanga kua na capacity ya 28 million by 2025, Bandari ya Mombasa ilifikisha 30.1 million in 2017..... hizi ndo nambari tuna deal nazo, Nyinyi hata WB ilishawaambia mkifanya bandari yenu I we Kama ya Mombasa mtaongeza $1B kwa uchumi wenu kila mwakaUnajipa sana matumaini usifkiri hii ni ile tz ya 90s sahau hio kwa taarifa yako mtwara tushapanua kwa ajili ya kuserve mozambique na part of zambia and malawi
Dar kwa ajili ya tanzania bara pamoja na rwanda congo burundi and part of zambia and malawi bila kusahau zimbabwe and comoro
Tanga ita deal na uganda pamoja na kenya through namanga arushaπππ
Kumbe munaongeza bearth mbili sisi tunapanua bearth zote na tumetengeza ro-ro terminal kwa ajili ya magari tuView attachment 978813View attachment 978814View attachment 978815
This year cargo volume has crossed a 30 mln tons mark!Waikati Upanuzi wa bandari yenu kubwa ya Dar inapanga kua na capacity ya 28 million by 2025, Bandari ya Mombasa ilifikisha 30.1 million in 2017..... hizi ndo nambari tuna deal nazo, Nyinyi hata WB ilishawaambia mkifanya bandari yenu I we Kama ya Mombasa mtaongeza $1B kwa uchumi wenu kila mwaka
Hebu nyote muangalie hii video mjiionee vile Hilo eneo la bandari ya Mombasa vile linageuka na maendeleo tofauti tofauti