Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Umemshika pabaya imebidi akunje mkia. Hawa watu BALAAA! Yaani kuelewa vitu za msingi imewashinda, wao ni kutupa tu maneno bila ya kuthibitisha usawa/ukweli wake.

650k TEUS ni idadi ambayo MOMBASA port ili-handle miaka karibu kumi iliyopita [emoji23][emoji88]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Evidence?
 
Ila nilichogundua Tanzania ni nchi ambayo tunafanya mambo yetu Kwa ukubwa na ubora zaidi ya Jirani zetu, yaani we take Advantage of their weaknesses, mfano Barabara ya njia nane wao njia sita, SGR Station kubwa na bora kabisa than yao, BRT ya kisasa zaidi wenzetu hawana hiyo, yaani kiufupi KUTANGULIA SI KUFIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuonyeshe iyo barabara na SGR stations pia sisi tuone?
 
Mkuu usiongelee ukubwa wa stations, ongelea ubora wa reli, speed na ukisasa wa train, nishati itakayo tumika, cost yake, mgawanyo wa kujengwa kwake, upatikanaji wa pesa. Yani pointi zote tume wafunika. Sisi ni kaka zao lazima tuwaonyesha jinsi kazi zinavyo fanywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante maana Mimi nimemwambia kiwepesi Sana ila wewe umefafanua zaid I hope ameelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…