Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Unaenda kusaini mkataba wa vipande vya ujenzi mbele wakati vipande vya nyuma hauna pesa ya kujengea.. Mi sijui hawa watu wanawaza nini aisee
 
Unaenda kusaini mkataba wa vipande vya ujenzi mbele wakati vipande vya nyuma hauna pesa ya kujengea.. Mi sijui hawa watu wanawaza nini aisee
kwahiyo kama AfDB wametoa fedha tulizoomba tusipokee na tusianze ujenzi kwa vile phase III, IV n V r not ready? Au unafikiri fedha za SGR Uvinza Msongati zinaweza kuhamishwa na kujengwa vipande vya III, IV na V?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…