Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hata hujanikwaza kabisa😁pole kama nimekukwaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hujanikwaza kabisa😁pole kama nimekukwaza
Ukinionyesha uwanja modern na wa size Hiyo Ukunduni nahama humu ndani!
mbona kama unaipa miaka mingi mno 🤨🤨Ipe miaka 10 tu hoi bin taabani
hivi Lot 3 na 4 ziliisha lini??? kua serious sometimesConstruction of Lot 5 of Tanzania’s SGR reaches 63 percent
Source: The Citizen
Construction of Lot 5 of Tanzania’s SGR reaches 63 percent
kwahiyo kama AfDB wametoa fedha tulizoomba tusipokee na tusianze ujenzi kwa vile phase III, IV n V r not ready? Au unafikiri fedha za SGR Uvinza Msongati zinaweza kuhamishwa na kujengwa vipande vya III, IV na V?Unaenda kusaini mkataba wa vipande vya ujenzi mbele wakati vipande vya nyuma hauna pesa ya kujengea.. Mi sijui hawa watu wanawaza nini aisee
Zipo under construction ng'ombe ww!hivi Lot 3 na 4 ziliisha lini??? kua serious sometimes