nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,056
- 1,296
Nairobi-Naivasha
'hapa kazi tu'
'hapa kazi tu'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
but u started 5 years before how do u expect to ours to be running by now? wacha ujinga!nyinyi mkiwa hapa sisi tuko mbele zaidi...we lead the leaders
![]()
Si mlisema ni usiku na mchana na mtamaliza mbele yetu and again we are always ahead of you in everything. Leading the leaders.but u started 5 years before how do u expect to ours to be running by now? wacha ujinga!
Ofcourse tunafika Uganda pamoja third phase about to be launched!Si mlisema ni usiku na mchana na mtamaliza mbele yetu and again we are always ahead of you in everything. Leading the leaders.
sasa mmejenga mpaka wapi with pictures please😀😀Ofcourse tunafika Uganda pamoja third phase about to be launched!
Si mlisema ni usiku na mchana na mtamaliza mbele yetu and again we are always ahead of you in everything. Leading the leaders.
ni mwaka mmoja miezi miwili imepita sasa tangu muanza ujenzi wa Dar-Moro... vile mnasema yenu inajengwa hadi usiku, hio ni equivalent na miaka miwili ya kwetu ...but u started 5 years before how do u expect to ours to be running by now? wacha ujinga!
ujenzi wa tuta na mifereji upo mbali !ni mwaka mmoja miezi miwili imepita sasa tangu muanza ujenzi wa Dar-Moro... vile mnasema yenu inajengwa hadi usiku, hio ni equivalent na miaka miwili ya kwetu ...
2 year after sgr ya kenya kuanza picha zilikua ni nyingi sana, unaweza ukatafuta ile origina kenya sgr thread na utaona vile progress ilikua imefika mbali sana
ni mwaka mmoja miezi miwili imepita sasa tangu muanza ujenzi wa Dar-Moro... vile mnasema yenu inajengwa hadi usiku, hio ni equivalent na miaka miwili ya kwetu ...
2 year after sgr ya kenya kuanza picha zilikua ni nyingi sana, unaweza ukatafuta ile origina kenya sgr thread na utaona vile progress ilikua imefika mbali sana
ujenzi wa tuta na mifereji upo mbali !
Kenya na china wali sign kandarasi na pesa kutolewa on May 2014.... By may 2015, ujenzi ulikua umefika 50%
Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape
hii picha ni ya may 2015