Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,039
- 11,822
Huwa najiuliza hivi hayo madaraja wakenya huwa wanajenga ilimradi ama maana hata sehemu zisizofaa kuwa na daraja huwa wanajenga tu mwisho wa siku napata jibu kuwa huwa wanafanya vitu for nothing......pasipo tija[emoji3]