Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #1,881
Narrow Gauge (central Railway TRC) n Cape Gauge (Uhuru Railway TAZARA)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na deal na watu ambao hata Hawajui tofauti Kati ya TEU na it’s average/equivalent weight... a loaded container/TEU has a typical weight of between 18-24 tons , kwahivyo nikisema 500,000Teus that’s that’s more than 13 million tones!!!!!!!!Dar port has clocked 20mln tonnes at the moment only a stupid can compare the port to 500,000 TEU capacity!
😂😂😂 huyo jamaa bado anawaza tz ya 90s
Keep on day dreamingThis year cargo volume has crossed a 30 mln tons mark!
Dar port is above 1 mln TEUs!Keep on day dreaming
Waikati Upanuzi wa bandari yenu kubwa ya Dar inapanga kua na capacity ya 28 million by 2025, Bandari ya Mombasa ilifikisha 30.1 million in 2017..... hizi ndo nambari tuna deal nazo, Nyinyi hata WB ilishawaambia mkifanya bandari yenu I we Kama ya Mombasa mtaongeza $1B kwa uchumi wenu kila mwaka
Hebu nyote muangalie hii video mjiionee vile Hilo eneo la bandari ya Mombasa vile linageuka na maendeleo tofauti tofauti
Hapo nje kidogo tu ya Dar port (less than 20 km) eneo la Ruvu kuna dry port inakamilika inaitwa Kwala, itakua na storage capacity 5 times bigger than Dar port. Central line, Tazara na SGR zote zitakua zina shunt cargo hapo.
Lengo ni ku-offload cargo ya Dar port kabla ya kupelekwa mikoani na nchi nyingine.
So in relative terms Dar port itakua na endless capacity from sometimes end of next year....
HHha inaserve nchi maskini sana,hakuna mizigo ya maana inaenda kule..mizigo same na kiambu county !!!!!Usijipe matumaini budaa ndio maana nimekueleza tumepanua bandari zote za tanzania na ujue tanzania ina bandari 5 na zote ziko kwenye expansion mtwara ishakamilika na kila bandari tumelenga nchi fulani kwakua na ukaribu wa nchi hizo
Dar port ita serve rwanda burundi congo zambia and malawi bila kusahau comoro and tanzania its self
Mtwara port ita serve part of mozambique, zambia, malawi na zimbabwe
Tanga tumelenga uganda na part of kenya
So tumia akili ya kuzaliwa 😂😂😂😂
Nchi zote nilizokutajia zinakua kwa kasi sana usifkiri nao wamelala kama munavodhania nyie subirieni mumkabidhi mchina mombasa port awanyoe manyoya vzrHHha inaserve nchi maskini sana,hakuna mizigo ya maana inaenda kule..mizigo same na kiambu county !!!!!
Ha! Hio system ilipitwa na Waikati kitambo sana, Kama mngekua mlifanya hivyo miaka 15 iliopita ndo ingekua relevant Leo. Sahii technologia ya shipping liners inaelekea kwa super Panamax ambapo Meli kubwa ndo zina uwezo wa kubeba mizigo mingi sana kwa pamoja, Afrika tulikua tumeachwa Nyuma kidogo lakini with expansion na trade increase bara Africa litakua Kama vile vinavyofanyika EU na port of Amsterdam,Antwerp , ama Srilanka port Kyle South Asia au miami port Kyle marekani....Usijipe matumaini budaa ndio maana nimekueleza tumepanua bandari zote za tanzania na ujue tanzania ina bandari 5 na zote ziko kwenye expansion mtwara ishakamilika na kila bandari tumelenga nchi fulani kwakua na ukaribu wa nchi hizo
Dar port ita serve rwanda burundi congo zambia and malawi bila kusahau comoro and tanzania its self
Mtwara port ita serve part of mozambique, zambia, malawi na zimbabwe
Tanga tumelenga uganda na part of kenya
So tumia akili ya kuzaliwa 😂😂😂😂
Kwani nchi zingine zimelala...nchi zotE maskini hukuwa Kwa Kasi MOSTLY.Nchi zote nilizokutajia zinakua kwa kasi sana usifkiri nao wamelala kama munavodhania nyie subirieni mumkabidhi mchina mombasa port awanyoe manyoya vzr
Ndio tunafanya sasa hvi hakuna cha system ilipitwa na wakati hapa na tunafanya hvi ili kupunguza cost of transportHa! Hio system ilipitwa na Waikati kitambo sana, Kama mngekua mlifanya hivyo miaka 15 iliopita ndo ingekua relevant Leo. Sahii technologia ya shipping liners inaelekea kwa super Panamax ambapo Meli kubwa ndo zina uwezo wa kubeba mizigo mingi sana kwa pamoja, Afrika tulikua tumeachwa Nyuma kidogo lakini with expansion na trade increase bara Africa litakua Kama vile vinavyofanyika EU na port of Amsterdam,Antwerp , ama Srilanka port Kyle South Asia au miami port Kyle marekani....
Yani Afrika tunaelekea kwa ‘hub system’ ambapo e.g mizigo ya ukanda wa Eastern Africa inaletwa na Meli kubwa kwa mpigo na kuangushwa kwa bandari Moja kubwa yenye uwezo wa kutosha Alafu kutoka hapo Meli ndogo zinasambaza mizigo kwa hizo bandari zengine ...... kwahivyo kujenga vibandari kila mahali inafaa iwe ni kwa matumizi ya ndani Kama vile uvuvi n.k manake kule tunakoelekea shipping lines zinataka economies of scale ambapo Meli moja inabeba mizigo yote ya eneo flani, by 2025 Itakua mizigo kuanzia Dgibouti hadi Mozambiq inaangushwa kwa bandari moja!!! Na kusambazwa kote. Syschelles ndo wako position Nzuri zaidi kama location lakini Mombasa Tatari iko na capacity kubwa na better connectivity
Kwani nchi zingine zimelala...nchi zotE maskini hukuwa Kwa Kasi MOSTLY.
Kwenye hii taarifa ilioletwa na mwenzio waziri wenu anasema Dar handled 650k TEUs last year!!!!Dar port is above 1 mln TEUs!
Leta ushahidi kutoka kwa TPA Dar port 20 million .Ndio tunafanya sasa hvi hakuna cha system ilipitwa na wakati hapa na tunafanya hvi ili kupunguza cost of transport
So yajayo yanafurahisha nani alijua leo dar ingefika hatua ya kuhandle 20m tons a year
So tegemea mazuri zaidi ndugu huu wakati lazima muwe macho sana
Jiandaeni kuwakabidhi wachina mombasa port maana sgr yenye mlicharazwa vizuri imebadilika kua white elephant kama alivosema dr ndii 4 yrs ago😂😂😂😂
Nitakuletea usijal kumbe ulijua tunatania😂😂😂😂😂😂Leta ushahidi kutoka kwa TPA Dar port 20 million .
Alafu SGR yetu phase 1 imemaliza mwaka mmoja, hakuna project ya zaidi ya $500m ambayo inaweza kuleta faida mwaka wa kwanza, hata MPESA ili struggle kabla ya kua biashara kubwa
Hii itakuwa biggest dry port in AfricaHapo nje kidogo tu ya Dar port (less than 20 km) eneo la Ruvu kuna dry port inakamilika inaitwa Kwala, itakua na storage capacity 5 times bigger than Dar port. Central line, Tazara na SGR zote zitakua zina shunt cargo hapo.
Lengo ni ku-offload cargo ya Dar port kabla ya kupelekwa mikoani na nchi nyingine.
So in relative terms Dar port itakua na endless capacity from sometimes end of next year....
Kwenye hii taarifa ilioletwa na mwenzio waziri wenu anasema Dar handled 650k TEUs last year!!!!
Then you shouldn't have jumped to using stats that don't exist...This year stats will be out in January so chill!