Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Kumbe tayar nilidhan bado nimebaki na habar za zaman
Treni zimeshanumuliwa kutoka Korea na training inafanywa na Turkey na Korea model inayokuja ni Hyundai Rotem ambazo hata Turkey wanazitumia huko kwao. Google Hyundai Rotem trains utaona zimekaaje.