And in those 10 years include the first 5 years - training the Kenyans everything from bottom-up. The first year it was 80% Kenyan workforce now we at 95% Kenyan workforce . Ripoti ya KRA inalenga 98% workforce by next year 2020, alafu wachina wakiisha, kutakua na observation period kupima vile wakenya wanamanage SGR, contract iliisha, the same Chinese but Kenyan run company itabaki vilevile lakini itageuka na kua ya kikenya.... Hapo tunatarajia watakua wamekua real experts wa kila kitu au sivyo management ya SGR itapewa kampuni ya kifaransa kama vile ilikua imepangwa pale mwanzo .
Alafu Kenyan locomotives are not diesel trains, They are diesel-electric trains, That means engine ni generator ya diesel inayo generate umeme alafu umeme ndo unatumika ku drive the axles and the rest of the train ... Yani ukiondoa hio generator na u connect na overhead line ya stima treni itasonga bila shida! So ukiwa we ni dereva wa treni hakuna tofauti ya kama unapeleka electric train au diesel-electric, ndio maana hata hio simulator iko modelled from an electric train simulator kwasababu ziko na the same dashboard and controlles.
Alafu hapo Kwa thermite wielding, Yepi wanatumia mashini spesheli ya kufanya hio kazi, kumaanisha alietumia akili ni mwenye alitengeneza mashini, mtumizi wa mashini hahitaji ujuzi wowote hata awe na IQ ya below average, Bora ajue kuwasha na kuzima mashini na kulenganisha chuma mbili in a straight line, the rest ni mashini ndo itafanya! Dereva wa catapiller ya kubeba mchanga anahitaji ujuzi zaidi kuliko huyo wa ku operate hio mashini ya kuunganisha chuma!