Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Hayo mandhari hayapendezi. Angalia ya Kenya. It's scenic

It's best to leave the environment as natural as before.

The Chinese cause a lot of damage building unnecessary concrete floors and walls all over! I think it's meant to inflate the project!
 
Your railway line doesn't impress at all.
It's best to leave the environment as natural as before.

The Chinese cause a lot of damage building unnecessary concrete floors and walls all over! I think it's meant to inflate the project!
 
It's best to leave the environment as natural as before.
The Chinese cause a lot of damage building unnecessary concrete floors and walls all over! I think it's meant to inflate the project!
I don't mean buildings. I am referring to nature... the beauty of nature
 
Delegation kutoka Tunisian Railways yatembelea CCCC kenya kukagua SGR ya Kenya....

Inasemekana Tunisia wanataka CCCC ijenge SGR huko Tunisia kwa mfano wa SGR ya Kenya.... Najua kuna majirani flani wangetembelewa na watu/nchi ambao wako tayari kujenga SGR yao, hatunge lala humu JF, tungepigiwa story za "best in Africa" kila siku!

RRuiruq.jpg

Watunisia wamefika kwenu nanyi mtafika kwetu kujifunza treni ya umeme
 
Evidence? Till today that thing hasn't crossed 100 km/h!
Hii hapa evidence Inaonyesha ikiwa 134km/hr... wakati wa testing walienda hadi 158km/hr, ndio maana hapo kwa mlango wa dereva imeandikwa "max speed 158km/hr" kumkumbusha dereva kwamba asiwahi kupitisha hapo hata kama speedometer inaonyesha hadi 200km/hr.

sgr test.jpg
sgr 134 kmhr.jpg
 
Wewe huoni,inaundwa kama lami za kawaida?
Nikiangalia ya Kenya na Ethiopia naidharau hii yenu by far.
Nothing superior about it
Inaundwa kama lami za kawaida? Mbona mimi sijaona lami yoyote hapo?
 
Back
Top Bottom