EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,352
Yap, kwenye inlets na outlets za hayo mahandaki kutajengwa entrance na exit bridges.SGR phase II![]()
![]()
Inaonekana kuna daraja litajengwa hapa kuunganisha na tunnels!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap, kwenye inlets na outlets za hayo mahandaki kutajengwa entrance na exit bridges.SGR phase II![]()
![]()
Inaonekana kuna daraja litajengwa hapa kuunganisha na tunnels!
You just nailed it. Asiyeelewa hapo hawezi elewa tena.Kwanza, kitu unachoshindwa kuelewa ni kwamba route nzima ya SGR pembeni mwake iko na conduits zake za fiber kwa ajili ya kuwezesha signaling and control za operations za train. Sasa hio haina uhusiano na universal mobile cellular coverage unayozungumzia.
Pili, mawasiliano ya abiria ndani ya high speed train kama inayojengwa Bongo hutumia mfumo wa GSM-R ambao ni tofauti na huu wa kawaida unaozungumzia.
Tatu kwa kuwa fiber backhaul tayari ipo along the entire route, ina maana abiria watapata high speed broadband conectivity toka mwanzo wa safari hadi mwisho.
Hiyo ndiyo sababu mmejengewa reli kwa gharama kubwa kuliko tija yake. Ya nini kuweka concrete elevetions za gharama wakati waweza weka metals na bado design view ikawa reflected? Kama kuna stations nzuri za railways/metros ni za hawa jamaa Yapi. Very simple but beautiful.Hahahahaha, so they are adding an exoskeleton to make it 'look nice' when we all know the underlying structure is akin to a public toilete.
It's like applying lipstic to a pig, or taking a very old Subaru model then pimping it out ... No amount of cladding will hide the fact that the stations basic achitecture could have been designed by STD/grade 4 pupils taking an art class!
we tuliausipate tabu na hawa kunguni wakikenye dizain picha likiisha huwa wana mute kimya kimya usisumbuke naoHiyo ndiyo sababu mmejengewa reli kwa gharama kubwa kuliko tija yake. Ya nini kuweka concrete elevetions za gharama wakati waweza weka metals na bado design view ikawa reflected? Kama kuna stations nzuri za railways/metros ni za hawa jamaa Yapi. Very simple but beautiful.
ahahahahahahhahaha unajaribu kujiliwaza lakini wapi 😂 😂 😂 😂 juzi kuna mwengine naye alisema eti mna mipango ya kuzipanua hizo stesheni huko mbeleni 😂😂😂😂😂Hiyo ndiyo sababu mmejengewa reli kwa gharama kubwa kuliko tija yake. Ya nini kuweka concrete elevetions za gharama wakati waweza weka metals na bado design view ikawa reflected? Kama kuna stations nzuri za railways/metros ni za hawa jamaa Yapi. Very simple but beautiful.
Na pesa yetuView attachment 1273086
ahahahahahahhahaha unajaribu kujiliwaza lakini wapi 😂 😂 😂 😂 juzi kuna mwengine naye alisema eti mna mipango ya kuzipanua hizo stesheni huko mbeleni 😂😂😂😂😂
Tunajua Yepi ina uwezo wa kujenga stesheni design kali kali sana kama vile CCCC wana uwezo huo huo tena zaidi, lakini hapa hatuongelei uwezo wa Yepi au CCCC, tunaongelea stesheni mlio jengewa ambayo ni kibanda cha chooo 🤪🤪🤪kinapakwa lipstick hapo nje alafu unakujakutuambia "Very simple but beautiful" in other words, "Very dull and uninspiring!"
Hizo stesheni ndogo za TZ ni kama vile Mtu akiniuliza nimueleze kuhusu demu wangu anakaa vipi alafu nitumie maneno kama "Veru simple but Beautiful" nitakua namaanisha yeye ni mshamba, hajui kuongea, hajui kuvaa lakini bado ni karembo kwa mbaaaali, yani kwa kifupi hata sina raha kukaa naye, alshabaab wakivamia na kuanza kurusha risasi nitatok mbio bila kuangalia nyuma na nimuache huko ndani ☠...nk
Lakini Stesheni ndogo za Kenya ni kama vile mtu akiniuliza kuhusu demu wangu na nitumie maneno kama "Artistic marvel, modern, Inspiring" Yani intellectually ako sawa, Mbele iko sawa, nyuma iko sawa, ana ni inspire kuwa mwamme kamili, akiniacha ntajiua manake siwezi ishi bila yeye, hata alshabaab wakivamia na kuelekeza bunduki upande wake niko radhi kujitoa mhanga na kupigana nao ili yeye apate nafasi ya kutoroka na aponee 🤕🤕🤕
Kaulize genius billionaire Elon Musk kwanini anatumia mabilioni ya pesa kwa mission ya kuonda Mars wakati hapa kwa panet Earth bado tuna changamoto kibao na angetumia nguvu hizo za akili na pesa hizo zote ingekua ni simple sana kwake kutatua shida za planet earth........
Watch from 4.18m usikie jibu lake
How old are you?! Pia kiwango chako cha Elimu!!!!,Umejibu kitoto sana aisee!!!.Pole.
Na zao Bongoland vipi!? Boxi Boxi tu!?Wacha nikuonyeshe ni nini namaanisha
The station’s wavy and circular design was inspired by the ripples and tides of the ocean. Then there is the 58-metre view tower, similar to the one in the port city of Rotterdam, Netherlands. The tower acts more like the pebble that triggers the ripple in the water.
![]()
-------------------------------------------
Mariakani station
Were you excited to see a coconut tree as you drove towards Mombasa for the first time? It must have been around Mariakani. The new station will immortalise your nostalgic feelings since the design borrows heavily from the coconut tree. These ‘coconut’ porticos are load-carrying instruments, that support the large sun louver which functions as a sunshade and assists in passive ventilation in the core area of station. In 2035, the station’s passenger delivery volume is expected to be 249,000 while number of those in waiting room will be 250.
![]()
------------------------------------
Voi:
View attachment 1279511
The key words for this station are unity and harmony. The two façades form the V-shape of a person with raised hands. This is the spirit of “harambee” or pulling together, which was the rallying call from Kenya’s founding President Mzee Jomo Kenyatta. It is symbolic of what can be achieved if all the 43 tribes that make up Kenya would all pull in one direction. In any case, the building’s V-shape is consistent with the station’s name – Voi.
-----------------------------------
Mtito Andei Sation
View attachment 1279530
From Mtito Andei, the Chyulu Hills and the distant Kilimanjaro come into view. It is little wonder that these natural elements inspired the design of the slopping roof. Mount Kilimnjaro as well as the Chyulus is at times shrouded in clouds, another inspiration to the mid-section of this station. Below any mountain is a forest, hence trees inform the bottom part of the station. The curtain wall on the front elevation is composed of thousands of prismatic glass patterns, forming interlaced and waved surface, which strengthen the visual image. Passenger delivery volume is expected to be 165,000 and passengers in waiting room will be 150 in 2035.
. -----------------------------------------
Ningekuekea kila station lakini nadhani umepata hoja.... Kila stesheni, watu waliketi chini wakafikiria, wakajadiliana kuhusu hilo eneo , wakahakikisha kila stesheni ina maana yake muhimu kulingana na hilo eneo, Ukiangalia design hata kama ni stesheni ndogo unajua hao kuna architect alitumia akili manake achitectural designs ziko very inspiring!
😂 😂 😂Na zao Bongoland vipi!? Boxi Boxi tu!?
halafu train ngijangija inatembea 110 km/h passengers na cargo 80 km/h, God forbid better have an electric train cruising at 160 km/h with a normal train stations than fancy white elephants in the middle of nowhere while the train is diesel n moving at 110 km/h passengers n cargo at 80 km/h!Wacha nikuonyeshe ni nini namaanisha
The station’s wavy and circular design was inspired by the ripples and tides of the ocean. Then there is the 58-metre view tower, similar to the one in the port city of Rotterdam, Netherlands. The tower acts more like the pebble that triggers the ripple in the water.
![]()
-------------------------------------------
Mariakani station
Were you excited to see a coconut tree as you drove towards Mombasa for the first time? It must have been around Mariakani. The new station will immortalise your nostalgic feelings since the design borrows heavily from the coconut tree. These ‘coconut’ porticos are load-carrying instruments, that support the large sun louver which functions as a sunshade and assists in passive ventilation in the core area of station. In 2035, the station’s passenger delivery volume is expected to be 249,000 while number of those in waiting room will be 250.
![]()
------------------------------------
Voi:
View attachment 1279511
The key words for this station are unity and harmony. The two façades form the V-shape of a person with raised hands. This is the spirit of “harambee” or pulling together, which was the rallying call from Kenya’s founding President Mzee Jomo Kenyatta. It is symbolic of what can be achieved if all the 43 tribes that make up Kenya would all pull in one direction. In any case, the building’s V-shape is consistent with the station’s name – Voi.
-----------------------------------
Mtito Andei Sation
View attachment 1279530
From Mtito Andei, the Chyulu Hills and the distant Kilimanjaro come into view. It is little wonder that these natural elements inspired the design of the slopping roof. Mount Kilimnjaro as well as the Chyulus is at times shrouded in clouds, another inspiration to the mid-section of this station. Below any mountain is a forest, hence trees inform the bottom part of the station. The curtain wall on the front elevation is composed of thousands of prismatic glass patterns, forming interlaced and waved surface, which strengthen the visual image. Passenger delivery volume is expected to be 165,000 and passengers in waiting room will be 150 in 2035.
. -----------------------------------------
Ningekuekea kila station lakini nadhani umepata hoja.... Kila stesheni, watu waliketi chini wakafikiria, wakajadiliana kuhusu hilo eneo , wakahakikisha kila stesheni ina maana yake muhimu kulingana na hilo eneo, Ukiangalia design hata kama ni stesheni ndogo unajua hapo kuna architect alitumia akili manake achitectural designs ziko very inspiring!
Wacha nikuonyeshe ni nini namaanisha