Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Quality rail
IMG_20200102_161140.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KE future electrification
TZ current electrification

[emoji23][emoji23][emoji23] What a gap.....
Experiment on returns to economy, stabilizer electricity etc. Look at Ethiopian SGR. Ikawa ya kupigiwa mfano kama yenu sasa, eti Ethiopia wana Electric trains n'a KENYA garimoshi. Hivi sasa Ethiopia wana pata taabu.

Mkenya hufikiria mbele wala hafanyi sababu wengine wanafanya.
 
We una akili kweli ww yn unafananisha Ethiopia na Tz kweli kabisa yn unafananisha nchi inayotegemea anga tu na nchi iliyojitosheleza kila kitu au unaongea ili mradi nawe uonekane upo active humu jf ngj nkwambie kitu hakuna biashara utafanya Tz ukapata hasara hyo ndio sifa kubwa ya nchi hii hakunaga loss unless ucwe serious
 
hivii............ dah!
 
Back
Top Bottom