Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

NIshawahi kukueleza ile scenario ya 4 one of your train kujazwa mizigo, treni zetu tatu zitakua zilijaa!

Wakati nyinyi mna treni ndefu za kubeba mizigo mingi kwa mpigo, sisi tuna vituo vingi zaidi vya treni kupishana (passing loops)


Big axle load means less frequency of trips, small axle load means more frequent trips... There is a reason kwanini mmepiga order ya only 16 locomotives wakati Kenya ilinunua 56 locomotives.... Nyinyi mkipiga treni moja ya 10,000 tonnes sisi tunapiga treni tatu ambazo zitakua 12,000 tonnes, at the end of the year tutakua tulibeba mizigomingi kuliko nyinyi wa axle load kubwa
Safari 3 tani 12000 in Kenya and safari 1 tani 10000 in Tanzania sasa wewe ujui uchumi hapo inamaanisha gharama kuwa chini ya uendeshaji na faida kuwa juu kwa tz tofauti kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio 600 km ni sawa na Mombasa to Naivasha. Tofauti ni kwamba yetu tulishamaliza zamani kujenga ila yenu hata hamjamaliza phase one Dar mpaka Moro. Bado mpo nyuma sana Geza.
Reli yenu ni simple reli tofauti na yetu
Kenya sgr only use 2 beam
Tanzania sgr use 4 beam
Kenya sgr aijachomewa
Tanzania sgr imechomewa
Kenya sgr siyo ya umeme hivyo mfumo wake wa ujenzi auzingatii ujenzi wa mfumo kabambe wa umeme
Tanzania sgr niya umeme na mafuta hivyo inazingatia mfumo kabambe wa umeme na mafuta nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kama mmeanza nyuma yetu mbona huwa mnakimbizana na sisi? Si mkubali tu sisi tuliwatangulia na tuko mbele yenu na hamtawahi kutufikia. Kisha tuache ligi kwani mshindi ashapatikana.
Kama Tanzania tungejenga sgr kama ya Kenya sasa hivi tungekuwa tupo km860 kwasababu ya kweni ni
S = Si
G = Ga
R = Ra
Gari moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaeza jaribu kujidanganya lakini hata wewe unaona, hadi hapo ilipofikia, there is Nothingimpresive about Dar station.. Sote tunajione hakuna any advanced engineering technology imetumika, jengo lote limegengwa kutumia brick and morter, hata watu wa 1600 AD wanaweza kujenga hadi hapo mlipofika.... The only thing from this century itakua tu ni pale watakapo ongeza vioo kando kandoya hilo jengo ndo likae "modern'. Lakini sisi tunao fyatilia ujenzi ambao tuliliona hilo jengo likijengwa tutajua ukiondoa hivyo vio hakuna lolote chini yake, ni gorofa la matofali tu kama majengo mengine mengi Tanzania.
Poooovuuuuuuuuuuuuuui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida hua watu wanakata ticketi online wanaingiza details kama seat number,date, Jina, ID Number alafu wanalipa na kupewa ticket number....
Unaeza ukaenda siku yoyote kabla siku ya kusafiri kuchukua ticketi yako na hautapata msongamano wowote, lakini ili ku save garama, watu hungojea siku ya kusafiri wakifika kituoni ndo wanaenda hapo kwa ATMs na ambapo wanaitishwa ticket Number na phone number na mashini alafu pap, boarding pass yako inachapishwa....

Shida inayotokea hua ni hizo dakika 30 za mwisho ndo kila mtu anafika kwa SGR station na anataka kuchapisha ticket.....


-------
Wakenya walisema suluhisho ya hio shida ni KRC wapanue network yao, Wafungue ofisi kadhaa kwa mitaa kadhaa mijini alafu waweke hizo ATM kwa hizo ofisi,ili ule mtaa unaokaa kuna ofisi ya SGR ambayo iko na hio ATM ya ticketi iwe unaweza chapisha tiketi mtaani bila kufika stesheni. Kwasababu kama ulivyosema hakuna mtu ata book online alafu asafiri kuchapisha na ku confirm tiketi kwa stesheni alafu arudi nyumbani angojee siku ya kusafiri. Lakini kukiwa na ATM machine mtaani itakua rahisi kufanya hivyo.
Ili muibiane vizuri.....ha haaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


ERec2o2XUAEqrge



ERec2ozX0AAPMLp


ERec2ovW4AICa2a


ERec2o3XUAYfwp4


MY TAKE
Haya wale waliokua wanadai tunnel ya Mchina ni bora zaidi mtueleze kivipi?

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 asvptx
Bado haitakua double stack [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FYI we are talking about a very short distance of appr. 5 km. It will not take more than 4 weeks man hours watakuwa wamemaliza kujenga.

For now they don't want to disturb the flow of freight trains out and into the port through NGR which is still the backbone of cargo transport for hinterland and the neighboring countries.

Once the Dar - Moro SGR, the marshaling yard and ICD at Kwala are ready. They will complete this 5 km SGR stretch from Shaurimoyo to the harbor. Thereafter, no freight NGR trains will be allowed to go to the port. Instead, freight NGR trains will offload and load their goods at Kwala ICD.

Only cargo SGR shunters will be plying between the port and Kwala ICD.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kumbe zile mbwembwe za kutaka kuzindua reli november, mlikua mtazindua bila ya hicho kipande..
Duh!!bangi mbaya kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana fool!

kule bandarini kuna upanuzi unaendelea berth 1-7..



Pia BRT inaendelea


Vyote vina muingiliano! Ukiangalia bridge over bridge na viaduct structures utaweza ona kuanzia Shaurimoyo kuna provision ya branch kuelekea kurasini!

Keep believing we will build SGR n leave it at the middle of nowhere like ur SGR terminating at Naivasha!

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 asvptx
Hahaaa!!si nynyi mlisema hamlurupuki, imekuaje tena iwe kw sasa kuna vizuizi...

Kwhyo unataka kumaanisha mtazindua reli bila ya hicho kipande mpaka hyo miradi ya upanuzi na BRT ikamilike?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom