Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
We itabidi uregeshwe shule ya chekechea ufundishwe common senseOna ulivyo na akili fupi,
Kwa hiyo huwa tunabomoa reli halafu mvua ikitulia tunarudisha reli?
Fool.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We itabidi uregeshwe shule ya chekechea ufundishwe common senseOna ulivyo na akili fupi,
Kwa hiyo huwa tunabomoa reli halafu mvua ikitulia tunarudisha reli?
Fool.
Locust ako na akili kukuzidi,We itabidi uregeshwe shule ya chekechea ufundishwe common sense
Kutakua na haja gani basi kumsimamia huyo mkenya kama hawaelewani, Na huyo mkenya atakua laifundishwa vipi hadi akafika hapo pa kufanyiwa mtihani wa practical...hahah wacha uongo hawaongei kiingereza! sasa wanawasiliana vp?
Weee tafuta watoto wenzako mubishane,Locust ako na akili kukuzidi,
Mbumbumbu mwenzako alisema reli yetu itabomolewa na mvua,
Nikamuandikia mbona mvua kubwa zinanyeesha na hakuna hata kipande cha reli ya sgr kilichobomolewa na mvua... Wewe na ujuaji wako wa kishamba unakuja hapa kudandia treni kwa mbele na kutuandikia ngonjera zisizo na umuhimu wala maana yoyote hapa,
Mliendekeza huu ujinga na ndio maana mkapapaswa na wachina.
Wewe na utu uzima wote mbona hauna akili!Weee tafuta watoto wenzako mubishane,
Nowadays jamii forum imejaa mazoombie watoto Kila Kona,
Hawa wanafaa kuwachwa waropoke wenyewe.
si mlikuwa mnabisha SGR Tanzania haitafika Bandarini tukawaambia kuna ujenzi unaendelea wa flyover na pia berths then the construction of the route will start! Mkabisha!Unaniquote Nije nione mnajenga flyover? 😂 😂 😂 😂 Hayo tulianza kuona miaka kumi iliyopita hata nashangaa inakupatia goosebumps!
Listen from 3:33
Kuna siku naona naona utabisha kwamba sgr si ya umeme kwa sababu anayejenga transmission line ni tanesco na si yapi merkezi.Mnapata faida gani kusema uongo ? Mna ijua hio kurasini au mna kariri tu kufanya siasa nyepesi ?
Hapa eneo la kurasini kilwa road kuna daraja la chuma ambalo ni jembamba. Kutokana na ujenzi wa Njia ya Mwendokasi phase II unao endelea kutoka mbagala hadi kurasini imebidi daraja hilo lina panuliwa lipite juu kwa ajili ya ma Bus ya DART.
Chini ya hili daraja kuna njia ya zamani ya train inapita. Hio hio inakarabatiwa kwenda port. No new SGR to port
Mukiulizwa hilo daraja kutoka port linaenda kuunganishwa wapi ? Na soko la kariakoo ?
Wacheni Uongo .
Aliepewa tenda kujenga SGR ni kampuni ya YAPI Merkezi. Hilo daraja linajengwa na kampuni ya China CCCECC
Stop misleading the public. Kama Reli itafika Port sawa itafika but sio on this Yapi Agreement.
Sent from my iPad using JamiiForums
kuna umuhimu kumpuuza!Kuna siku naona naona utabisha kwamba sgr si ya umeme kwa sababu anayejenga transmission line ni tanesco na si yapi merkezi.