Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mnapata faida gani kusema uongo ? Mna ijua hio kurasini au mna kariri tu kufanya siasa nyepesi ?
Hapa eneo la kurasini kilwa road kuna daraja la chuma ambalo ni jembamba. Kutokana na ujenzi wa Njia ya Mwendokasi phase II unao endelea kutoka mbagala hadi kurasini imebidi daraja hilo lina panuliwa lipite juu kwa ajili ya ma Bus ya DART.
Chini ya hili daraja kuna njia ya zamani ya train inapita. Hio hio inakarabatiwa kwenda port. No new SGR to port
Mukiulizwa hilo daraja kutoka port linaenda kuunganishwa wapi ? Na soko la kariakoo ?
Wacheni Uongo .
Aliepewa tenda kujenga SGR ni kampuni ya YAPI Merkezi. Hilo daraja linajengwa na kampuni ya China CCCECC
Stop misleading the public. Kama Reli itafika Port sawa itafika but sio on this Yapi Agreement.

Sent from my iPad using JamiiForums
Huku Kenya tunawaitanga DIGITAL TERRORIST

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku naona naona utabisha kwamba sgr si ya umeme kwa sababu anayejenga transmission line ni tanesco na si yapi merkezi.

Hayo yote yapo kwenye mkataba. Hakuna atakae bisha. Sub contracts zote zipo kwenye mkataba
Dawasco atafanya nini ipo
Tanesco atafanya lipi ipo
Na wilaya itapo pita watafanya nini yote yapo wazi
Hawa wachina hawamo popote.
TRC wapo kwenye maelezo kuwa wataboresha njia zao pembeni ya SGR na pia Wataboresha reliinayo enda port.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mkuu crabat uko sahihi .
Watanzania walipenda sana kuwa na reli ya kisasa ambayo itakua Classic na with all amenities.
Sasa zaidi ya kuwa ni SGR kwa maana ya uwezo wa kubeba weight ya mizigo zaidi Reli mpya itakua ni ya kawaida sana.
Hata TAZARA ilo jengwa miaka 40 sasa ukiondoa uchakavu basi Tazara reli bora zaidi kwa huduma kuliko hii SGR inayo jengwa katika kipindi hiki cha maendeleo makubwa duniani ya technologia
Huwezi kufanya project kubwa kama hii mawazo yakawa ya mtu mmoja ambaye anawaza imalize kabla ya uchaguzi ili itumike kama kiki ya kampeni. Hapo ndio tuliharibu project nzima.
Tulinunua ndege hivo hivo..hatimae zimekaa miaka miwili bila ya kutumika ipasavyo. Ni Hasara kwa taifa.
SGR ni ukweli kuna major oversight wakati wa kuingia mkataba na YAPI tuliisahau Bandari ya Dar es salaam.
Hata route ya SGR kuipeleka Mwanza nao kuna walakin. Ukiangalia nchi zinazotumia bandari sana Bandari ya Dar in terms ya mizigo ya kwanza ni Zambia ikifatiwa na DRC then Rwanda. Uganda ni ya Mwisho na kwao Mombasa ni karibu sana na rahisi.
Kama tulikua na lengo ku maximize Kupata mizigo ya nchi hizo basi tungelekeza reli hii huko.
Baada ya kina Ztto kupiga kelele ndio sasa ipo michoro kuwa itaenda Rwanda.
Walikataa kuipitisha Kigoma ambako ingeunganisha Rwanda , Burundi na DRC.
Kisa labda Kigoma wako watu aina fulani wasio takiwa au sababu yupo zitto mpinzani !
Tukija kwenye SGR kosa jengine ni kuvunja Master Station ya TRL pale station na kuigeuza kuwa ndio station kikuu ! ya SGR
Ile sehemu ni ndogo sana eneo mi dogo na Station hii maanzo ilijengwa zaidi ya miaka 100 ilopita. Dar wakati huo kuna watu Laki 2 na Tanganyika 3m
Ukuaji wa population miaka ya 90 na 2000 tulishuhudia foleni kubwa na adha kila reli ya kati ikifika hapo au ikiondoka
reli ya kati ikifika eneo zima linahemewa na abiria wanao shuka pale. Foleni ya magari na mizigo.
Eneo lile ndio ipo Central Police ni hatua 20 tu ! .
Kutokana na udogo wa eneo Main station na Uingiaji wa Njia za Juu za reli ni wa kubanaa banwa tu na hatarishi kwa abiria.
Kwa waliofika Tazara Main station pale Mandela road wataelewa nini ya umuhimu ya Main station ya reli kuwa kubwa na vipi Machina wakati ule wali angalia ukuaji wa idaidi ya watu kutaathiri huduma na kukidhi idadi ya watu na abiria.
Mpaka leo Tazara main station inatosha kuhimili ongezeko la watu.
Bado sijafahamu kama reli za umeme kama hizi zinageuza vipi ikifika pale station. Reli zamani ikifika locomotive inafunguliwa na na inaletwa ingine kutoka upande wa pili .
Metro train za umeme hazina mbele au nyuma ikifika mwisho inarudi reverse kama ndio mbele.
Sina uhakika na hizi tunayo jenga kama nayo mfumo wake ni sawa na metro trains au la.
Kwa ufupi main station ni padogo haikidhi haja ya abiria sasa hivi wala future.
Main station inatakiwa jengwe nje ya jiji kwenye nafasi ya kutosha.
Tumefanya haraka bila kufikiria mbele.
Povu Ruhsa

Ongera kwa ngonjera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapata faida gani kusema uongo ? Mna ijua hio kurasini au mna kariri tu kufanya siasa nyepesi ?
Hapa eneo la kurasini kilwa road kuna daraja la chuma ambalo ni jembamba. Kutokana na ujenzi wa Njia ya Mwendokasi phase II unao endelea kutoka mbagala hadi kurasini imebidi daraja hilo lina panuliwa lipite juu kwa ajili ya ma Bus ya DART.
Chini ya hili daraja kuna njia ya zamani ya train inapita. Hio hio inakarabatiwa kwenda port. No new SGR to port
Mukiulizwa hilo daraja kutoka port linaenda kuunganishwa wapi ? Na soko la kariakoo ?
Wacheni Uongo .
Aliepewa tenda kujenga SGR ni kampuni ya YAPI Merkezi. Hilo daraja linajengwa na kampuni ya China CCCECC
Stop misleading the public. Kama Reli itafika Port sawa itafika but sio on this Yapi Agreement.

Sent from my iPad using JamiiForums
Wewe ndo muongo wa kwanza ..kampuni inayojenga ni ya japan sio china...

Chapili..kuna mtu kasema kuna darja limejemgwa au haujui kusoma vizuri..kila mtu anajua kuna two lane road....

Tulichosema ni kwamba hyo flyover mpya itaacha nafasi kubwa kwa jili ya both NGR na SGR kupita chini yake au hujui kusoma maelezl mkuu

Cha tatu kwa akili yako unahisi kwann SGR haitaingia port...hata kama sio kwa tenda hii ya yapi merkezi kwan tenda zimeisha ...

Flyover ya gerezani..ni kwa ajili ya kuacha nafasi ya kutosha chini ili sGR ipite

Cha tatu kwa akili yako unahisi kwann SGR haitaingia port...hata kama sio kwa tenda hii ya yapi merkezi kwan tenda zimeisha

Flyover ya gerezani..ni kwa ajili ya kuacha nafasi ya kutosha chini ili sGR ipite

Sent using Jamii Forums mobile app

Kampuni ya Japan itaje. Mimi nimetaja mpaka jina la hio ya china.
Tunasema Iwe SGR ,NGR au MGR in the long run itakwenda lakini haiko katika mradi wa YAPI sababu kuu ni Kukurupuka.
Kwenda itakwenda kwa sababu bila ya hio itaifanya SGR useless.
Itakwenda kwa tender nyengine at extra cost ..gharama kwa kodi zetu kutokana na uzembe.
Utafanyaje Reli mpya usahau kwenda Bandarini halafu ukumbuke kumekucha ?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mkuu crabat uko sahihi .
Watanzania walipenda sana kuwa na reli ya kisasa ambayo itakua Classic na with all amenities.
Sasa zaidi ya kuwa ni SGR kwa maana ya uwezo wa kubeba weight ya mizigo zaidi Reli mpya itakua ni ya kawaida sana.
Hata TAZARA ilo jengwa miaka 40 sasa ukiondoa uchakavu basi Tazara reli bora zaidi kwa huduma kuliko hii SGR inayo jengwa katika kipindi hiki cha maendeleo makubwa duniani ya technologia
Huwezi kufanya project kubwa kama hii mawazo yakawa ya mtu mmoja ambaye anawaza imalize kabla ya uchaguzi ili itumike kama kiki ya kampeni. Hapo ndio tuliharibu project nzima.
Tulinunua ndege hivo hivo..hatimae zimekaa miaka miwili bila ya kutumika ipasavyo. Ni Hasara kwa taifa.
SGR ni ukweli kuna major oversight wakati wa kuingia mkataba na YAPI tuliisahau Bandari ya Dar es salaam.
Hata route ya SGR kuipeleka Mwanza nao kuna walakin. Ukiangalia nchi zinazotumia bandari sana Bandari ya Dar in terms ya mizigo ya kwanza ni Zambia ikifatiwa na DRC then Rwanda. Uganda ni ya Mwisho na kwao Mombasa ni karibu sana na rahisi.
Kama tulikua na lengo ku maximize Kupata mizigo ya nchi hizo basi tungelekeza reli hii huko.
Baada ya kina Ztto kupiga kelele ndio sasa ipo michoro kuwa itaenda Rwanda.
Walikataa kuipitisha Kigoma ambako ingeunganisha Rwanda , Burundi na DRC.
Kisa labda Kigoma wako watu aina fulani wasio takiwa au sababu yupo zitto mpinzani !
Tukija kwenye SGR kosa jengine ni kuvunja Master Station ya TRL pale station na kuigeuza kuwa ndio station kikuu ! ya SGR
Ile sehemu ni ndogo sana eneo mi dogo na Station hii maanzo ilijengwa zaidi ya miaka 100 ilopita. Dar wakati huo kuna watu Laki 2 na Tanganyika 3m
Ukuaji wa population miaka ya 90 na 2000 tulishuhudia foleni kubwa na adha kila reli ya kati ikifika hapo au ikiondoka
reli ya kati ikifika eneo zima linahemewa na abiria wanao shuka pale. Foleni ya magari na mizigo.
Eneo lile ndio ipo Central Police ni hatua 20 tu ! .
Kutokana na udogo wa eneo Main station na Uingiaji wa Njia za Juu za reli ni wa kubanaa banwa tu na hatarishi kwa abiria.
Kwa waliofika Tazara Main station pale Mandela road wataelewa nini ya umuhimu ya Main station ya reli kuwa kubwa na vipi Machina wakati ule wali angalia ukuaji wa idaidi ya watu kutaathiri huduma na kukidhi idadi ya watu na abiria.
Mpaka leo Tazara main station inatosha kuhimili ongezeko la watu.
Bado sijafahamu kama reli za umeme kama hizi zinageuza vipi ikifika pale station. Reli zamani ikifika locomotive inafunguliwa na na inaletwa ingine kutoka upande wa pili .
Metro train za umeme hazina mbele au nyuma ikifika mwisho inarudi reverse kama ndio mbele.
Sina uhakika na hizi tunayo jenga kama nayo mfumo wake ni sawa na metro trains au la.
Kwa ufupi main station ni padogo haikidhi haja ya abiria sasa hivi wala future.
Main station inatakiwa jengwe nje ya jiji kwenye nafasi ya kutosha.
Tumefanya haraka bila kufikiria mbele.
Povu Ruhsa

Sent from my iPad using JamiiForums

Ukweli mtupu Macos. Watu wametuharibia reli yetu kwa kukurupuka

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wewe ndo muongo wa kwanza ..kampuni inayojenga ni ya japan sio china...

Chapili..kuna mtu kasema kuna darja limejemgwa au haujui kusoma vizuri..kila mtu anajua kuna two lane road....

Tulichosema ni kwamba hyo flyover mpya itaacha nafasi kubwa kwa jili ya both NGR na SGR kupita chini yake au hujui kusoma maelezl mkuu

Cha tatu kwa akili yako unahisi kwann SGR haitaingia port...hata kama sio kwa tenda hii ya yapi merkezi kwan tenda zimeisha ...

Flyover ya gerezani..ni kwa ajili ya kuacha nafasi ya kutosha chini ili sGR ipite

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante kwa kukubali ya kutokua na uhakika kuwa SGR itafika bandarini.
Ubebaki kuwaza itakuja kwa tenda nyengine.
Ukweli hamna tenda mpya TRL wanakarabati tu njiaza zamani mpaka kibaha. Kaulize lumumba utaambiwa

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kampuni ya Japan itaje. Mimi nimetaja mpaka jina la hio ya china.
Tunasema Iwe SGR ,NGR au MGR in the long run itakwenda lakini haiko katika mradi wa YAPI sababu kuu ni Kukurupuka.
Kwenda itakwenda kwa sababu bila ya hio itaifanya SGR useless.
Itakwenda kwa tender nyengine at extra cost ..gharama kwa kodi zetu kutokana na uzembe.
Utafanyaje Reli mpya usahau kwenda Bandarini halafu ukumbuke kumekucha ?

Sent from my iPad using JamiiForums
What do you mean when you say extra cost wakati reli hujengwa kwa km?
 
Nangoja design ya flyover ya kutokea Chang'ombe maana mbali na Nyerere road sasa hivi kuna daraja la SGR kwa mbele Shaurimoyo halafu level crossing ya NGR ukijumlisha na makutano ya Uhuru road Ilala Bomani hiyo flyover itabidi iende hewani kama level mbili juu halafu ishuke kidogo kwa urefu usiopungua 1 km! Ila route ya kwenda Bandarani ya SGR nadhani utavuka Nyerere road kwa underpass nadhani itabidi watoboe au wapanue ama kama kuna nafasi kwenye existing underpass basi itakuwa rahisi!
We endelea kudhani tu..
Lkn ujue hakuna mchoro wa sgr kutoka bandarini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote yapo kwenye mkataba. Hakuna atakae bisha. Sub contracts zote zipo kwenye mkataba
Dawasco atafanya nini ipo
Tanesco atafanya lipi ipo
Na wilaya itapo pita watafanya nini yote yapo wazi
Hawa wachina hawamo popote.
TRC wapo kwenye maelezo kuwa wataboresha njia zao pembeni ya SGR na pia Wataboresha reliinayo enda port.

Sent from my iPad using JamiiForums
Jibu zuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We endelea kudhani tu..
Lkn ujue hakuna mchoro wa sgr kutoka bandarini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawewe umekuwa mjinga!

Screenshot 2020-03-18 08.56.13.png

Screenshot 2020-03-18 08.56.10.png

Screenshot 2020-03-18 08.58.53.png
 
Hivi wewe uko mji gani ? Uashawahi kuogelea Pwani ?
IMG_5597.JPG
Maana unavo hangaika ku screenshot video bila
IMG_5594.JPG
kujua hizo railing ni za kitu gani. Aidha ushamba wa kutowaji kuogelea pwani kuona bandari au kupotosha makusudi kulaghai.
Hizi screenshot zako sio njia za reli hizi ni njia za Container terminals ambazohutembea hapo wakati ikishusha containers kutoka kwenye meli hadi kwenye Trucks.
Tungekua na rail hapo basi ungeona njia za SGR pembeni hivo container ikushushwa kutoka melini inapakiwa kwenye trai moja kwa moja.
Baadhi ya picha kutoka bandari ya Mombasa na nje ikionesha Njia za Container terminals
IMG_5595.JPG
b
IMG_5596.JPG

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Attachments

  • IMG_5597.JPG
    IMG_5597.JPG
    40 KB · Views: 3
Hivi wewe uko mji gani ? Uashawahi kuogelea Pwani ? View attachment 1395424Maana unavo hangaika ku screenshot video bilaView attachment 1395423 kujua hizo railing ni za kitu gani. Aidha ushamba wa kutowaji kuogelea pwani kuona bandari au kupotosha makusudi kulaghai.
Hizi screenshot zako sio njia za reli hizi ni njia za Container terminals ambazohutembea hapo wakati ikishusha containers kutoka kwenye meli hadi kwenye Trucks.
Tungekua na rail hapo basi ungeona njia za SGR pembeni hivo container ikushushwa kutoka melini inapakiwa kwenye trai moja kwa moja.
Baadhi ya picha kutoka bandari ya Mombasa na nje ikionesha Njia za Container terminalsView attachment 1395422b View attachment 1395426

Sent from my iPad using JamiiForums
Muhurumie ndugu yako geza mshamba aisee...mbavu zangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom