Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You know even with everyone having their opinion on the Kenyan SGR, one fact is undeniable, it the only fully functioning SGR in the region.
Yes,the only 1880's SGR that operates in EAC!You know even with everyone having their opinion on the Kenyan SGR, one fact is undeniable, it the only fully functioning SGR in the region.
Kwala ICD officially open!
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
Alafu walevi wa chang'aa mnapiga kelele Magu afunge mipaka hizi pesa zote mtampa? Nyie wehu nn[emoji3][emoji3]SGR budget around $865 mln set aside for SGR phases III IV n V
View attachment 1439775
View attachment 1439776View attachment 1439777
Yah km kawa, hapo ilikuwa inatoa mzigo bandarini inapeleka kunako ICD mupyaa kabisa iliyopo kwala nje ya jiji la Dar lengo ni kupunguza msongamano wa mizigo pale port ya Dar pia kupunguza msongamano wa magari na kupunguza masaa ya usafiri wa Transit [emoji3][emoji3][emoji3]meter guage railway !
SGR nonetheless. Holla back when yours is fully functional.....it's ok I'll waitYes,the only 1880's SGR that operates in EAC!
Hii budget ya 2020-2021 ni do or die budget that will make SGR Tanzania break ahead na ita-set apart the central corridor from Northern corridor!Alafu walevi wa chang'aa mnapiga kelele Magu afunge mipaka hizi pesa zote mtampa? Nyie wehu nn[emoji3][emoji3]
SGR budget around $865 mln set aside for SGR phases III IV n V
View attachment 1439775
View attachment 1439776View attachment 1439777
Mbona hamtumii SGR ya kisasa kutoa mizigo bandarini hadi hapo ICD mpya? Hili swali niliuliza wenzako kitambo sana nikatukanwa, hapo kwa hio video wanasema wamefika 75% ya ujenzi sijaona wakiongelea vile SGR itafikishwa bandarini ndo itoe mizigo huko hadi hapo ICD.Yah km kawa, hapo ilikuwa inatoa mzigo bandarini inapeleka kunako ICD mupyaa kabisa iliyopo kwala nje ya jiji la Dar lengo ni kupunguza msongamano wa mizigo pale port ya Dar pia kupunguza msongamano wa magari na kupunguza masaa ya usafiri wa Transit [emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona hamtumii SGR ya kisasa kutoa mizigo bandarini hadi hapo ICD mpya? Hili swali niliuliza wenzako kitambo sana nikatukanwa, hapo kwa hio video wanasema wamefika 75% ya ujenzi sijaona wakiongelea vile SGR itafikishwa bandarini ndo itoe mizigo huko hadi hapo ICD.
Reli ya SGR iko only a few meters from TPA HQ na bandari la Dar, why use slow and inneficient MGR kupeleka mizigo 90km from the port alau kutoka hapo ICD ndo SGR ichukue mizigo na kuipeleka mbele?
Part (iii) inasema kuboresha, si kujenga kitu kipya bali kuboresha kitu ambachotayari kiko, which is Meter Gauge Rail... Na wamesema uboreshaji huo unaisha Juni 2020, sahii tuko May kwahivyo ni mwezi ujao watakua wamemaliza, kama ingekua ni SGR ungekua ushaona ujenzi wake ukielekea hapo bandarini sahii.. Kwahivyo inamaanisha SGR yenu haitafika Bandarini licha ya kua iko meter chache tu mbele ya Bandari..Mizigo itahamishwa na MGR hadi ICD alafu ndo SGR ipokee na kupeleka mbele.Read part (iii)
View attachment 1440603
In Q1 2020, The Mombasa - Nairobi Railway dispatched 1187 freight trains averaging 13 trains per day transporting 95,000 containers and 7,365 tons of loose cargo. Between 20-25 April, the SGR freight service averaged 15.3 trains per day representing a 19% increase.
Pitia SGR line will be in built in those 3 births 5-7 that U/C at the moment!Part (iii) inasema kuboresha, si kujenga kitu kipya bali kuboresha kitu ambachotayari kiko, which is Meter Gauge Rail... Na wamesema uboreshaji huo unaisha Juni 2020, sahii tuko May kwahivyo ni mwezi ujao watakua wamemaliza, kama ingekua ni SGR ungekua ushaona ujenzi wake ukielekea hapo bandarini sahii.. Kwahivyo inamaanisha SGR yenu haitafika Bandarini licha ya kua iko meter chache tu mbele ya Bandari..Mizigo itahamishwa na MGR hadi ICD alafu ndo SGR ipokee na kupeleka mbele.
View attachment 1440610
Hii ni thread ya ku compare Kenya SGR VS Tanzania SGR.. Kwahivyo kama hautaki tukague SGR yenu basi jiondoe hapa!kama ni kweli haifiki, kinachokuuma ni nn hasa?
so kwa akili yako treni za sgr zikifika kwa meli itabidi zisafirishwe kwa trucks mpaka kwa SGR line kama Kunyaland sio? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 👇Hii ni thread ya ku compare Kenya SGR VS Tanzania SGR.. Kwahivyo kama hautaki tukague SGR yenu basi jiondoe hapa!
Kutakua na gharama ya:
1. kushukisha mzigo kutoka kwa meli hadi chini.
2. Kupakia mzigo huo kwa MGR na kuusafirisha 90km hadi ICD.
3. Kushukisha mzigo huo kutoka treni ya MGR na kuupakia kwa treni ya SGR na kusafirisha hadi mbele.....
Kwahivyo kutumia MGR itaongeza gharama ambazo mungeweza kuzi avoid kama SGR ndo ingekua inatoa mzigo bandarini moja kwa moja....
Hizi ndo changamoto ambazo tulikua nazo pale awali huku kwa SGR Kenya, yani ile garama ya usafirishaji wa mzigo kupitia SGR ni beo poa sana tena ya chini, lakini kuna 'hidden costs' nyingi sana mpaka ukijumlisha unakuta afadhali usafirishe mzigo wako na lory kutoka bandarini hadi kwakomlangoni yaishe!
Wakati huo tukikumbwa na hizi changamoto watanzania mlikua mnatucheka sana mnasema hatuna akili, nikawaambia hizi ni changamoto hata nyinyi mtapitia kabla mjipange vizuri na ku streamline, sasa naona nyinyi hata manjiongezea shida zaidi kwa hutumia MGR kutoa mizigo bandarini
Ndio na mimi nashangaakama ni kweli haifiki, kinachokuuma ni nn hasa?
so kwa akili yako treni za sgr zikifika kwa meli itabidi zisafirishwe kwa trucks mpaka kwa SGR line kama Kunyaland sio? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 👇
![]()
![]()
![]()
Mtu amejibiwa!