Nchi ikifanya makosa kwenye miradi ya kimkakati uwa ni hatari sana yaan unaweza ukadondosha uchumi wa nchi, hii ndo imeitokea Kenya yaan wamejenga Reli ya zamani kwa gharama ukubwa na bora wangetimiza lengo lao kuwa Reli yao iwe ndo main link ya north corridor lakini imefeli.
Kenya wajiandae kisaikolojia tu, Miaka michache ijao Tanzania ndo itakuwa Nchi ya mfano Africa Mashariki.
Maana naona kabisa TZ inaenda kuwa Transport hub, Food Hub and Business hub of East Africa.
Msimuone Magufuli anajenga masoko ya kisasa kwenye mikoa, lengo ni kufanya kila mkoa uwe ni Business Hub to outsiders and insiders.
Ukisikiliza vizur Vision ya Wizara ya kilimo, Tanzania inaenda kulisha Africa nzima... maana kilimo kimeondolewa Urasimu mwingu kiasi kwamba ukilima na kuvuna basi umetajirika, hii imefanya watu wengi waingie kwnye kilimo.
Sent from my iPhone using JamiiForums