Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Not Mombasa terminus just say Shaolin Temple [emoji3][emoji3]
Never compare Mombasa terminus with that cowshed of yours
DeA9aSVVQAEiVAt.jpg
DeA9aSUVwAAf2eW.jpg
ERDzC5kXsAAoe3x.jpg
39057815_101.jpg
 
Without doubt you are really pained by Mombasa terminus but I would advise you to blame the person who asked for Mombasa pictures, not me. He is the person responsible for your pain.
Stesheni huwa inapendezeshwa na miundombinu iliyowekwa kwenye hyo stesheni, ss stesheni ya Dar ina miundombinu ya kisasa zaidi kuliko stesheni za nairobi na Mombasa na ndiyo maana inaonekana kali [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Never compare Mombasa/Nairobi terminals na kibanda cha kuku. In fact, Voi station is much better than Dar station infrastructural wise.
 
Miundombinu gani za kisasa unaongelea that Nairobi/Mombasa can`t have?
 
Never compare Mombasa/Nairobi terminals na kibanda cha kuku. In fact, Voi station is much better than Dar station infrastructural wise.
Heheheheheeee mmeumia sn kuona cc ni wajanja kuliko nyie, angalia stesheni ya kisasa, cc tumeamua stesheni zetu ziwe km airport kuanzia za mabasi mpk za train [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1594589886239.jpeg
tapatalk_1594589878305.jpeg
 
To be sincere that station is not impressive to me.
Not just to you, it's not impressive at all...watanzania ni mihemko tu but sincerely there's no way unaezacompare dar station na Nairobi terminus na Mombasa terminus

Even kina voi, emali, suswa zina better designs
 
Stesheni huwa inapendezeshwa na miundombinu iliyowekwa kwenye hyo stesheni, ss stesheni ya Dar ina miundombinu ya kisasa zaidi kuliko stesheni za nairobi na Mombasa na ndiyo maana inaonekana kali [emoji3][emoji3][emoji3]
Good umekubali dar station haivutii
 
Not just to you, it's not impressive at all...watanzania ni mihemko tu but sincerely there's no way unaezacompare dar station na Nairobi terminus na Mombasa terminus

Even kina voi, emali, suswa zina better designs
Nimewaambia even Voi station is better than Dar structural wise.
 
Back
Top Bottom