Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Ushamba enye Tanzania ni ya hali juu sana. Ni kamakila mtu Tanzania hawajaiona escalator before. Here is Nairobi SGR with the escalator on the right and stairway on the left.
View attachment 1505656
Lakini niwa EMU sio deasel thing ....sijui nanyie mtatoa ushamba lini apo kunya land[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siyo mbaya uje hata kwajirani
 
Pimbi moja km ww huna hadhi ya kukosoa EMU sababu hata hujui ikoje wala inafanyaj kazi stick with your mtambo wa chang'a thats your level.......cant even argue just coming with 0 brain[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382][emoji382][emoji382] imeumaaa usirudie na shobo pimbi ww
usiikimbie mada wewe ghaseer! hivi wewe hapo tandale unajua EMU inavo fanya kazi?? ulidai tz ina EMU, ebu tuonyeshe.....
hapa hakuna mapambio ya kipumbavu. watanzania mmejaza meffi kichwani.
 
Nyie hamjawahi kujenga reli ya umeme so hamjui inachukua mda gn kuwa finished wala hamjui ni vitu gani vinahusika kujenga hyo reli, zaidi mnafanya kuckia tu, mnasema reli yenu imechukua mda fupi ndiyo lazima ichukue mda mfupi cz ni sawa na MGR yetu tushamaliza kuifanyia rehabilitation.
Hakuna kitu umeongea hapo, waturuki na nyinyi mlielewana kwamba hio project yenu ya reli ya umeme itachukua mda flani..... (mkielewana ilikua mnajua vizuri kabisa kwamba ni nini kinahitajika kukamilisha hio project).... Alafu baada ya kuelewana, contactor anashinda akiongeza mda wa kumaliza kila siku.... Afadhali hata uniambie pesa za kumlipa mturuki zilichelewa kuliko uniambie eti sijui technology, umeme....blah blah blah kwani Yepi hawajui reli ya umeme inajengwaje ndo maana wakachanganyikiwa kusema itachukua mda gani kumaliza project?
 
Hii sasa ni screensaver!

EcO5_YOWoAAePv_
 
Yard capacity utilization at the ICD in Naivasha has hit 35 percent . The ICD has escalated operations currently receiving an average of three trains weekly carrying approximately 300 containers from one train when operations kicked off. Export volumes are also projected to rise with the port having handled twenty boxes carrying coffee from Uganda.

EbHxdkuU8AcGK1F

EbHxkYSUMAEFIwA

EbHxqMsUwAIW75c

Cheki Number plate ni ya DRC Congo! Isn't it cheaper for DRC to use Dar port?

EbHwrT3UYAgeIEn
 
So you wanted all the escalators in ground floor and and one side? Hizi sasa ndizo ujinga ndio naongelea.
Hua wako na ushindani wa kitoto sana, ngoja utaona next itakua wanauliza arrangement ya viti ndani ya jengo, au air condition vents zetu ni ngapi?
 
Hakuna kitu umeongea hapo, waturuki na nyinyi mlielewana kwamba hio project yenu ya reli ya umeme itachukua mda flani..... (mkielewana ilikua mnajua vizuri kabisa kwamba ni nini kinahitajika kukamilisha hio project).... Alafu baada ya kuelewana, contactor anashinda akiongeza mda wa kumaliza kila siku.... Afadhali hata uniambie pesa za kumlipa mturuki zilichelewa kuliko uniambie eti sijui technology, umeme....blah blah blah kwani Yepi hawajui reli ya umeme inajengwaje ndo maana wakachanganyikiwa kusema itachukua mda gani kumaliza project?
Kwn shida nn? Watu c wanajenga au wamesimama? Hata ikichukua miaka 10 tatizo nn? C inajengwa? Huwezi epuka ukweli kwamba Tz inajenga treni ya umeme au hujui ilo kwamba tunajenga treni ya umeme [emoji3][emoji3]
 
usiikimbie mada wewe ghaseer! hivi wewe hapo tandale unajua EMU inavo fanya kazi?? ulidai tz ina EMU, ebu tuonyeshe.....
hapa hakuna mapambio ya kipumbavu. watanzania mmejaza meffi kichwani.
Nimesha kwambia ww ni pimbi na hamnazo unafikiri hapa itapita iyo takataka yenu ya gari moshi...kichwa box[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikukimbie kwa fact gani ulizo nazo...km maengineer wenu tu wanawek nguzo katikati y barabara vipi ww pimbi toka pale kibera utafany nn zaid y kuza barakoa zilizo tumika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums255096987.jpg
JamiiForums2132789583.jpg

Km uko kunya mnaijua latent 3....ndio itapita hapo
 
Kwn shida nn? Watu c wanajenga au wamesimama? Hata ikichukua miaka 10 tatizo nn? C inajengwa? Huwezi epuka ukweli kwamba Tz inajenga treni ya umeme au hujui ilo kwamba tunajenga treni ya umeme [emoji3][emoji3]
Shida ni kwamba mnajaribu kujitetea kwa kuchelewa kumaliza ujenzi, kubalini tu kwamba Yepi kaogelea nje ya beseni. SGR ya umeme si mara ya Kwanza kujengwa, Ethiopia wamejenga na walimaliza ndani ya mda ulioekwa, Kuna nchi nyengine kadhaa za Africa ambazo pia zimejenga ya umeme na hazikupitisha mda, So treni ya umeme sio issue!
 
Heheheheheeee usisahau kwamba sgr yetu itakuwa the longest one.
 
Wapambe Mpoooo
Hebu tupeni tentative date lini Dar- Moro tutaanza safari.
Tukumbuke tupo 10 months behind.
Na tutaingia lini port ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapambe Mpoooo
Hebu tupeni tentative date lini Dar- Moro tutaanza safari.
Tukumbuke tupo 10 months behind.
Na tutaingia lini port ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Natumai umejikinga sawasawa maana watakupura mawe wanalumumba kwa kuwauliza maswali. kuna kilaza amedai wanamiliki EMU lakini kashindwa kutuwekea picha Justinr sasa anasingizia kibera.
 
Back
Top Bottom