komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hyo hela ndogo sana, hkuona elimu tumewekeza dollar bilioni tano,Hahaha,mkuu,kuhusu hilo,sio leo wala kesho.alafu mm najiuliza,hivi wataanza ku-electrify Kwanza ndio waendelee na Malaba,au watamaliza Kwanza. Yaani hawa watu mipango yao ni hovyo sana.