Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Arema standard ishakula $4b na bado haijabeba container ata moja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata kama haikuwa specifically for sgr, waliamua watajenga power plant mpya ambayo kutakua na dedicated transmission line specifically or SGR, hii iko hata kwa ESIA report ya SGR yenu kwamba watategemea umeme kutoka new power plant ya Kinyerezi!!!

ndo ujue kutofautisha kati ya dedicated power plant for SGR na dedicated transmission line for SGR...
no dedicated power plant built for SGR (yani hakuna plant imejengwa dedicatedly kwa ajili ya SGR)! ila kuna dedicated transmission lines for SGR ambazo zitatoka Kinyerezi PP, Nyerere HPP na kidatu HPP
 
Now things are getting serious na ukweli mnaujua kwmb hamna uwezo wa kujenga reli ya umeme, je hilo nalo unabisha mzee? Unaleta habari za 1998 wkt mm naongelea hbr za 2020 ambapo Tz ni MIC, reli ya umeme EAC ipo tu Tz, bwawa kubwa la umeme EAC lipo Tz, naongelea 2020 ambapo Tz inaongoza kwa pato la utalii EA, Tz inaongoza kwa mauzo ya madini ss, Tz ambayo nowadays inauza ynyw mazao yake bila wakala, we baki na historia [emoji3][emoji3]
BTW, Mimi hata hua si support electrification ya SGR yetu, atleast not for the time bieng, labda huko miaka ya 2030 kwenda mbele ambapo tutakua Mombasa port inabeba kama 60Million tonnes pa year ndo tukifanya electrification ita improve capacity ya reli kubeba mizigo mingi...

Alafu hapo pa Uchumi nimekuelezea mambo ya historia ili uone vile hua kila siku mnajikuta mna underestimate uwezo wa Kenya kujitoa kwa shida zake. Just when you think we are going down, we always find new ways of suprizing people, and thats the Kenyan spirit.
Ni mara ngapi uchumi wa Kenya umekwama hadi watu wakasema hatuamki tena alafu wanajipata bado tuko juu miaka michache baadaye....
Kuna yule professor alie andika kitabu cha Kikwete ali fanya analysis miaka ya 1989, na akapredict kwamba TZ itaipiku Kenya in early 2000 manake uchumi wa Kenya ulikua umedorora sana... He was mistaken!!!

2008 ambapo Uchumi ya Kenya ulikua kwa less than 1% jamaa wakasema hatutaamka tena, They were wrong!!!!

2016, kukakua na prediction nyengine

--------------------------------------------------
TANZANIA SET TO SURPASS KENYA AS EAST AFRICA'S ECONOMIC GIANT
Tanzania’s economy has been growing at an average rate of 7 percent annually over the past decade – a trend which economists predict will turn the country into the eastern African economic powerhouse by the year 2022

By Mnaku Mbani | August 26, 2016 |

anzania’s economy has been growing at an average rate of 7 percent annually over the past decade – a trend which economists predict will turn the country into the eastern African economic powerhouse by the year 2022.

Kenya is ranked as the regional economic powerhouse with a gross domestic product (GDP) of $55.2 billion. Tanzania’s GDP is $45bn, while Uganda’s is $30bn.

Tanzania can achieve her vision of accelerated and shared growth through fiscal prudence; cost-effective reforms in the education sector; and smart policies aimed at promoting the transformation of firms, the World Bank says.

According to its analysis, Tanzania's economic performance has remained strong. Preliminary estimates suggest that GDP grew by 7 percent last year, with activity particularly buoyant in the construction, communication, finance and transport sectors.

The strong growth is supported by stability in power supply, moderation in oil prices and high growth of credit to the private sector. The highest growth rates last year were registered in construction (16.8 percent), information and communications technology (12.1 percent), finance and insurance (11.8 percent).

Tanzania set to surpass Kenya as East Africa's economic giant
-------------------------------------------------------------------------------------------------

Hapo tukapewa sababu kadhaa vile sector za Uchumi kadhaa zinazidi kupanuka kwa kasi wakati za Kenya ziko stangnant, tukaambiwa by 2022 Tz itakua na uchumi mkubwa kushinda Kenya... Sasa tuko 2020 na gap inazidi kuongezeka, unafikiri 2022 mtakua mlifunga gap ya $40 Billion!!!

Sasa wewe unakuja tena kunipigia kelele eti roundi hii mambo yatakua tofauti, Unaringa na SGR ya umeme wakati sisi tayari tuko na functioning SGR!
Eti TZ inaongoza kwa mauzo ya Madini.. Kwani kuna wakati Kenya ilikua inaongoza kuuza madini? Tangu 1960 TZ imekua ikiongoza kwa mauzo ya Madini...

Alafu kuhusu utalii, TZ imekua ikiongoza kwa mapato ya Utalii tangu 2011 ambapo Kenya ilianza kupatwa na mashambulizi ya kigaidi....... Na licha ya hilo Gap ya uchumi kati ya Kenya na TZ kutoka 2011 hadi sasa imeongezeka! kwasababu tulichukua sector zengine kama ICT na tukazipa kipaumbele na uchumi kwa ujumla ukaendelea kukua.

Alafu kuhusu umeme, hata sisi Kenya tunaongeza umeme wa Geothermal kila mwaka hua hatukosi angalau 160MW mpya zinazoongezwa kwa grid, Kwa sasa tuko na umeme mwingi kuwaliko, kwahivyo hadi ule wakati mtazalisha umeme mwingi kutuliko hio comment iache hapo hapo.
Wakati ukifikiri hatuna uwezo tena kiuchumi, ndo tunaongeza Special Industial zones kubwa Mbili kule Mombasa na Naivasha, tena kuna zengine za kibinafsi zinajengwa Nairobi.
 
ndo ujue kutofautisha kati ya dedicated power plant for SGR na dedicated transmission line for SGR...
no dedicated power plant built for SGR (yani hakuna plant imejengwa dedicatedly kwa ajili ya SGR)! ila kuna dedicated transmission lines for SGR ambazo zitatoka Kinyerezi PP, Nyerere HPP na kidatu HPP
Umeregelea yale nilioyasema ukitumia maneno tofauti, soma tena nilichoandika

" Hata kama haikuwa specifically for sgr, waliamua watajenga power plant mpya ambayo kutakua na dedicated transmission line specifically or SGR, hii iko hata kwa ESIA report ya SGR yenu kwamba watategemea umeme kutoka new power plant ya Kinyerezi!!! "
 
Hawa ni jamaa wa kukurupuka always n it is costing them direly !!
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
'mwakani' yenye tuliimbiwa December 2019
Yenye mliambiwa na nani ?
 
Umeregelea yale nilioyasema ukitumia maneno tofauti, soma tena nilichoandika

" Hata kama haikuwa specifically for sgr, waliamua watajenga power plant mpya ambayo kutakua na dedicated transmission line specifically or SGR, hii iko hata kwa ESIA report ya SGR yenu kwamba watategemea umeme kutoka new power plant ya Kinyerezi!!! "
Punguza ujuaji, Kinyetezi power plants are not dedicated for SGR use. Ni akili ya wapi hio kujenga power plant kwa ajili ya SGR pekee...
 
Amini nakwambia hakuna electrification mtafanya kwa miaka ya karibuni may be 2050, uchumi wenu ni mbovu sana kwa ss, na hili ni pigo kuu la kiuchumi kuwahi kutokea kenya km unabisha tusubiri tuone, numbers don't lie.
Bwahahaa!!naona jedwali limeshakuvuruga akili tayari..

Watu huenda na mipango wala sio kukurupuka tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 'mwakani' yenye tuliimbiwa December 2019
Subiri tu hiyo ni fimbo ya moto inakuja kuzika Kenya sasa hivi ni kama tupo finishing to sema korona ilileta shock kidogo kwa mainjinia hasa wageni si unajua ukifa na korona unazikwa nchi uliyofia hivyo wageni walijifungia kwa kiasi ila baada ya kugundua korona is not function in Tanzania kazi zikaendelea kwanguvu kama kawaida
 
BTW, Mimi hata hua si support electrification ya SGR yetu, atleast not for the time bieng, labda huko miaka ya 2030 kwenda mbele ambapo tutakua Mombasa port inabeba kama 60Million tonnes pa year ndo tukifanya electrification ita improve capacity ya reli kubeba mizigo mingi...

Alafu hapo pa Uchumi nimekuelezea mambo ya historia ili uone vile hua kila siku mnajikuta mna underestimate uwezo wa Kenya kujitoa kwa shida zake. Just when you think we are going down, we always find new ways of suprizing people, and thats the Kenyan spirit.
Ni mara ngapi uchumi wa Kenya umekwama hadi watu wakasema hatuamki tena alafu wanajipata bado tuko juu miaka michache baadaye....
Kuna yule professor alie andika kitabu cha Kikwete ali fanya analysis miaka ya 1989, na akapredict kwamba TZ itaipiku Kenya in early 2000 manake uchumi wa Kenya ulikua umedorora sana... He was mistaken!!!

2008 ambapo Uchumi ya Kenya ulikua kwa less than 1% jamaa wakasema hatutaamka tena, They were wrong!!!!

2016, kukakua na prediction nyengine

--------------------------------------------------
TANZANIA SET TO SURPASS KENYA AS EAST AFRICA'S ECONOMIC GIANT
Tanzania’s economy has been growing at an average rate of 7 percent annually over the past decade – a trend which economists predict will turn the country into the eastern African economic powerhouse by the year 2022

By Mnaku Mbani | August 26, 2016 |

anzania’s economy has been growing at an average rate of 7 percent annually over the past decade – a trend which economists predict will turn the country into the eastern African economic powerhouse by the year 2022.

Kenya is ranked as the regional economic powerhouse with a gross domestic product (GDP) of $55.2 billion. Tanzania’s GDP is $45bn, while Uganda’s is $30bn.

Tanzania can achieve her vision of accelerated and shared growth through fiscal prudence; cost-effective reforms in the education sector; and smart policies aimed at promoting the transformation of firms, the World Bank says.

According to its analysis, Tanzania's economic performance has remained strong. Preliminary estimates suggest that GDP grew by 7 percent last year, with activity particularly buoyant in the construction, communication, finance and transport sectors.

The strong growth is supported by stability in power supply, moderation in oil prices and high growth of credit to the private sector. The highest growth rates last year were registered in construction (16.8 percent), information and communications technology (12.1 percent), finance and insurance (11.8 percent).

Tanzania set to surpass Kenya as East Africa's economic giant
-------------------------------------------------------------------------------------------------

Hapo tukapewa sababu kadhaa vile sector za Uchumi kadhaa zinazidi kupanuka kwa kasi wakati za Kenya ziko stangnant, tukaambiwa by 2022 Tz itakua na uchumi mkubwa kushinda Kenya... Sasa tuko 2020 na gap inazidi kuongezeka, unafikiri 2022 mtakua mlifunga gap ya $40 Billion!!!

Sasa wewe unakuja tena kunipigia kelele eti roundi hii mambo yatakua tofauti, Unaringa na SGR ya umeme wakati sisi tayari tuko na functioning SGR!
Eti TZ inaongoza kwa mauzo ya Madini.. Kwani kuna wakati Kenya ilikua inaongoza kuuza madini? Tangu 1960 TZ imekua ikiongoza kwa mauzo ya Madini...

Alafu kuhusu utalii, TZ imekua ikiongoza kwa mapato ya Utalii tangu 2011 ambapo Kenya ilianza kupatwa na mashambulizi ya kigaidi....... Na licha ya hilo Gap ya uchumi kati ya Kenya na TZ kutoka 2011 hadi sasa imeongezeka! kwasababu tulichukua sector zengine kama ICT na tukazipa kipaumbele na uchumi kwa ujumla ukaendelea kukua.

Alafu kuhusu umeme, hata sisi Kenya tunaongeza umeme wa Geothermal kila mwaka hua hatukosi angalau 160MW mpya zinazoongezwa kwa grid, Kwa sasa tuko na umeme mwingi kuwaliko, kwahivyo hadi ule wakati mtazalisha umeme mwingi kutuliko hio comment iache hapo hapo.
Wakati ukifikiri hatuna uwezo tena kiuchumi, ndo tunaongeza Special Industial zones kubwa Mbili kule Mombasa na Naivasha, tena kuna zengine za kibinafsi zinajengwa Nairobi.
Acha maneno ya kujifariji eti hu support electrification ya train yenu,the bitter truth is that,mliingizwa chaka na wachina.
 
Huenda shida ipo upande wa serikali. Extension ya mkataba wao ilitakiwa wamalize Oktoba 2020 ila sioni kazi ikiisha mwaka huu.
Kama shinda ni serikali, mbona upande wa pili (Morogoro - Makutupora) ujenzi unaendelea vizuri?
 
Ngoja tuone kama hiyo phase 2 itaisha kwa wakati.
IMHO, challenges zilizochangia delay ya Phase 1 ni :
- Reli kupita ndani ya jiji la DSM kwa kupanda cha almost 10 km za mwanzo
- Difficult terrain in some parts
- Prolonged rain season 2019 - 2020

In contrast, phase 2 inakwenda kwa kasi sana kwa sababu hali ya kule ni tofauti ukiondoa hilo la prolonged rain season.

Either way Phase 1 ni kama imefikia ukingoni, kazi iliyobakia ni ndogo, contractor ameongeza man power na kazi inafanywa 24 hours kwenye visehemu vidogo vidogo vilivyosalia. Kazi itakamilika ndani ya miezi 2 ijayo, somewhere in early October.

Nawakilusha.
 
Mimi ninahisi kuna kitu serikalini, lakini sio malipo.
Kwa mvua upande ulioathirika ni pale Ruvu, hiyo sehemu nimeangalia video wamemaliza sasa wanajaza uongo.

Wakienda kwa speed ya June, kazi iliobaki ni ndogo sana, ndani ya miezi 3-4 watakuwa tayari
 
Back
Top Bottom