Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Mimi ninahisi kuna kitu serikalini, lakini sio malipo.
Kwa mvua upande ulioathirika ni pale Ruvu, hiyo sehemu nimeangalia video wamemaliza sasa wanajaza uongo.

Wakienda kwa speed ya June, kazi iliobaki ni ndogo sana, ndani ya miezi 3-4 watakuwa tayari
Miez mitano had sita kaka kuna kipande kuanzia Bakhressa pale had pugu hakuna kilichofanyika, kuja had Vingunguti haielewek kama ni gari zitapita chini ama n reli maana hakuna ujenzi wwte hata pale majumba sita ni hivohvo... Hata hili daraja letu maungio ya pale Bakhressa bado sana , maungio ya pale karume bado hata hawajaanza chochote naona had kumaliza ni had mwezi wa pili mwakani spend UNAFKI ktk hili maana naufatilia huu miradi tangia wanaweka mkataba had sasa na mm ni mkazi wa dar naona. N kiasi gani hiki kipande had pugu kinavyowaumiza kichwa
 
Kuanzia bakhresa hadi Prugu ni tuta na reli inapokutana na barabara aidha barabara itapita chini (underpass) au juu (overpass)! Si umbali mrefu kihivyo kama wakijipanga! nadhani kati ya 10-15km!
 
Na hata mimi nimeona ni tuta tu ndio limebaki na madaraja machache sana, hizo 15km wakizivuruga wiki 1 utaona changes kubwa.
 
hii MSE wall inachukua mda sana, sio wa kuisha Oct
IMG_1595443060.279968.jpg
IMG_1595443072.671117.jpg
IMG_1595443082.976191.jpg
IMG_1595443093.495335.jpg

bado pale vingunguti na majumbasita, haijulikan reli na magari itapishanaje mana hakuna hata construction yoyote inayoendelea pale hadi mda huu

team kutoka Kinyerezi huwa tunatembelea mradi mara mojamoja kuangalia maendeleo ya TL, kipande ambacho wamechelewa na wako nyuma kiukwel ni hiko kutoka Dar station hadi Pugu .. kule mbele kuelekea Morogoro hakuna shida kbsa
 
team kutoka Kinyerezi huwa tunatembelea mradi mara mojamoja kuangalia maendeleo ya TL,
Nje ya mada kidogo, hivi gesi ya Mtwara ni nini hasa kilitokea, nani alikuwa mwekezaji?
 
hii MSE wall inachukua mda sana, sio wa kuisha Oct
View attachment 1514154View attachment 1514155View attachment 1514157View attachment 1514158
bado pale vingunguti na majumbasita, haijulikan reli na magari itapishanaje mana hakuna hata construction yoyote inayoendelea pale hadi mda huu

team kutoka Kinyerezi huwa tunatembelea mradi mara mojamoja kuangalia maendeleo ya TL, kipande ambacho wamechelewa na wako nyuma kiukwel ni hiko kutoka Dar station hadi Pugu .. kule mbele kuelekea Morogoro hakuna shida kbsa

Watakachokuja kufanya kwenye hio MSE wall ni kuanza kujenga kuta on both sides halafu katikati watajaza udongo, sub-balast and ballast layers and then watatandika reli. Patakuwa na gradient ya kupandia na kushukia kwenye viaduct.

Kama unakumbuka hilo eneo lilikua tepe tepe sana ndio maana wanaipa hio foundation ya MSE wall mda, sio kwa sababu ya ugumu wa kazi yenyewe, Kitu ambacho bado sijaelewa ni upade wa pili kuelekea Mandela road kama nako watatumia same approach ya MSE wall au watatumia method ya height graduated piles and beam.

Kule Vingunguti na Majumbasita ni kama wataweka underpasses ndogo ndogo kwa jailli ya magari.
 
Nje ya mada kidogo, hivi gesi ya Mtwara ni nini hasa kilitokea, nani alikuwa mwekezaji?
Ntakuelezea kidgo about this..Mtwara Kuna Gas sehemu mbili..Onshore na off shore

Gas ya offshore ndo nying kuliko on shore almost 80%..ya gas iliyogunduliwa Tz..hii has haijanza kutumika bado kwa matumizi yoyote..ndo mipango..ilikuwa hyo kujenga ma LNG etc

Gas ya onshore najua iko mnazi bay..ambayo wachimbaji wakubwa ni kampuni ya Wentworth..ambapo TPDC pia wana hisa humo wentworth...hii gas ndo inayotumika..kwenye mitambo ya Kinyerezi 1 n 2 kuzalisha umeme...

Gas nyngne iko songo songo island..hyo nayo inachimbwa na inazalisha umeme
 
mradi wa gas ya mtwara ulijengwa kwa mkopo wa china kwa $1.2 billion ila saiz ipo chini ya TPDC (wapo watatu, ila kurahisisha mambo tunamtambua TPDC kama muhusika) .. pale kinyerezi kuna kituo cha TPDC ambacho ndicho kinauza gas kwa TANESCO kwenda kwenye hizo plants 1&2
 
Ntakuelezea kidgo about this..Mtwara Kuna Gas sehemu mbili..Onshore na off shore

Gas ya offshore ndo nying kuliko on shore almost 80%..ya gas iliyogunduliwa Tz..hii has haijanza kutumika bado kwa matumizi yoyote..ndo mipango..ilikuwa hyo kujenga ma LNG etc

Gas ya onshore najua iko mnazi bay..ambayo wachimbaji wakubwa ni kampuni ya Wentworth..ambapo TPDC pia wana hisa humo wentworth...hii gas ndo inayotumika..kwenye mitambo ya Kinyerezi 1 n 2 kuzalisha umeme...

Gas nyngne iko songo songo island..hyo nayo inachimbwa na inazalisha umeme

yeah gas ya onshore ndo inatumika kinyerezi.. na TPDC ndo wanaiuzia TANESCO hapa kinyerezi
 
Kuanzia bakhresa hadi Prugu ni tuta na reli inapokutana na barabara aidha barabara itapita chini (underpass) au juu (overpass)! Si umbali mrefu kihivyo kama wakijipanga! nadhani kati ya 10-15km!
Hata wakijipanga hawawez kumaliza kwa miezi miwili maana tunaona wakijenga underpass au hzo overpass huwa wanachukua mda sana
 
Back
Top Bottom