Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

What the crude oil pipeline means to Tanzania
Ukisoma hiyo habari unaona tutakuwa tunapata mapato ya karibia Tshs 2.3trillion kutoka kwenye mafuta yanayotoka uganda sasa kwa mapato haya tuu kila mwaka tunaweza kuwa tunajenga almost 200km-400km za sgr.viva Magufuli
Hapo fedha ya mauzo ya gesi kwa Uganda haijajumuishwa na pia kuna hili! GoT pia inataka kuchukua 25% ya refinery Uganda 👇

Tanzania to acquire 25% of EACOP as Oil firms set deadline for FID

Yote yakitekelezeka Tanzania itakuwa inapata si chini ya $1.5 bln kwa mwaka!
 
What the crude oil pipeline means to Tanzania
Ukisoma hiyo habari unaona tutakuwa tunapata mapato ya karibia Tshs 2.3trillion kutoka kwenye mafuta yanayotoka uganda sasa kwa mapato haya tuu kila mwaka tunaweza kuwa tunajenga almost 200km-400km za sgr.viva Magufuli
Kwa akili yako nchi ni rail pekee?
KunA vitu mob sana mnafaa kufanya before mukaribie kuwa upper middle class,
Shida yenu mko over ambitious.
 
Wivu wa ilo tungi la chang'aa....you got a joke aahh[emoji1787][emoji1787]View attachment 1573236
esiiingiiallaaaa ya stima kutoka struggling George
Screenshot_20200918-152441_Chrome.jpg
Screenshot_20200918-020605_Gallery.jpg
 
Kwa akili yako nchi ni rail pekee?
KunA vitu mob sana mnafaa kufanya before mukaribie kuwa upper middle class,
Shida yenu mko over ambitious.
Lazima tuwe over ambitious cz vitu tunafanya this time hakuna nchi inafanya ukanda huu.
 
Double stack hyo, mwanaume mashine we unadharau sura wakati huo dume anakubebea juu chini mombasa nairobi trip za kuhesabu kila siku[emoji23][emoji23][emoji23]

Lenu mlinunua kalipakeni poda basi
Inabeb double stack ikiw haina mzigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] an upgrade bongo MGR.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ya machakani
IMG_20200827_152600.jpg
 
Back
Top Bottom