NImejaribu kukwambia vitu vyote hivi vina kua tracked kote duniani na ni vigumu sana kuficha hizi siri. (labda iwe ni kampuni inayotengeneza silaha iko ndani ya nchi yako ndo unaweza kuficha ukweli kwa mda mrefu)
Sasa naona ulikua unafikiri mimi ni wale watanzania wenzako ambao hua wanaongea tu ili washinde mada lakini hawana ushahidi wowote.
source
Kuhusu ndege: Hizi hapa ndege zenu amzo mshawahi kua nazo tangu 1964 hadi 2019.
Hapo utapata info kuhusu aina ya ndege, iliagizwa na kupokewa mwaka gani na comments kama ilikua msaada, second hand au mlinunua kwa cash.
View attachment 1635125
View attachment 1635129
Kuhusu vifaru na magari:
View attachment 1635130
---------------------------------------------------------------------------------
Na nikimalizia, Nitakuwachia summary ya silaha zote ambayo Tanzania ishwai kupokea tangu 1964
View attachment 1635139
View attachment 1635140
View attachment 1635141
-----------------------------------------------------------------------------------------
Unaona hadi hapo mwisho wameweka hadi database ya "Unkown suppliers", yani walikua hawajui zimetoka wapi lakini bado walijua ni zenu na pia walijua ni silaha za aina gani!
----------------------------------------------------------------------------------------
Alafu kesho urudi hapa kunipigia hadithi za sijui Tanzania ina ndege nyingi lakini hio ni "top secret" information [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] upuzi mtupu ambao waliokula propaganda ya CCM pekee ndo wanaamini.