Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Kama wewe mwenyewe ndio hajui nchi yako iko na ndege nne pekee, sasa nani hajielewi kati yangu na wewe.
Ndo maana hunielewi kwa sababu Jeshi wakifanya manunuzi huwa hawatangazi alafu ili ujue uwe angalao unafanya kazi hapo sasam mimi sio mwanajeshi hujielewi kabisa wewe ushawahi kwenda kambini ukahesabu hizo ndege?dah wakenya hamjielewi
 
kuna kilaza kaja na data document zake za kufikirika eti anakuambia kuwa ni evidence kila nikimuuliza swali dogo kama hilo anaishia kuleta propaganda za vilink uchwala....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Supplier ndio anatangaza kwa records zake,
Si nyinyi,

Unless mnajiundia izo silaha,
Huwa nadanganya kama maZOMBIE Karne hii
 
Wanakimbia maswali ya ;singi
 
Supplier ndio anatangaza kwa records zake,
Si nyinyi,

Unless mnajiundia izo silaha,
Huwa nadanganya kama maZOMBIE Karne hii
huyo supplier atakuwa ni muuza magimbi,,,,,,

sisi ndiyo wateja tukisema hatutaki zitangazwe,watatufanya nini ,,biashara ni makubaliano .....

kwa ufupi si kila kitu ama kifaa cha kijeshi kinachonunuliwa huwa kinakuwa wazi,,,

mtulie msipende kuzungumzia vitu msivyovijua,eti link ndiyo ushahidi wenu[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakenya mnamatatizo kwenye ubongo ishu za kijeshi siyo level yenu ndiyo maana huwa mnachapika
 
Kwhyo hata katia order mnaficha ndio suppliers pia wasijua[emoji1787][emoji1787]
 
En2fTNCXYAExWfL

En2Z4ztWEAIXgvH

En2Z5CQXMAIYB9q

En2Z55gW8AURQzE

En2Z6fPXIAAqsR8

En2fUcRXIAU8hre

MY TAKE
while Morogoro-Dodoma-Makutupora is over 47% done, 2 tunnels r completed while 2 more over 58% done!
 
kwani wanawake wana tofauti gani na engineers wanaume? wewe unajua kuna wanawake wangapi kwenye ujenzi wa madaraja yetu? na je unajua Tanzania ina engineers wengi zaidi ya Kenya?
Hahaha. Eti Tanzania ina engineers wengi kushinda Kenya. Una evidence kuprove utopolo huu ulioandika?
 
bado haujitambui,,unadhani ni kwanin nakupinga..?... sasa wewe ingia kwenye uwanja wa ya vita kwa kuzifuata hizo protocal uone kitakachokutokea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] unaishi kwa nadhalia sana nimekuuliza swali dogo tu ,,

1.Je alishawahi kutembelea military base zilizopo kenya au tanzania na kuhesabu idadi ya vyombo au vifaa vyote vya kivita. vilivyopo..?.
Kafrican amekujibu kwa evidence halafu umeanza tabia ya kihuni ya kuhamisha goal- post. Ndio maana huwa siargue na Watanzania wazimu kama wewe.
 
Back
Top Bottom