Sio poa kaka[emoji23][emoji23][emoji23] kama ni dada atakuwa wa shoka sana ndo maana yupo kwenye ligi japo anapokea vitasa vya kutosha sana nipo tayari kumpa offer ya kutalii Tanzania kwa gharama yangu kama akikubali,aseme tu anataka kwenda wapi ila sharti moja Bongo ni compulsory!!!Watanzania tuko poa sana tutampa bata moja la hatari sana!Ashangae afu shobo hatuna tunamjia na pini zetu za hatari sana!!!Zile pisi!!!***** nikiangalia kontena langu wallah!!,I'm blessed [emoji120][emoji120][emoji120].