BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Ata za Ethiopia Ni electric.kitu electrical engine!
But ziko ivo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata za Ethiopia Ni electric.kitu electrical engine!
Evidence?Ata za Ethiopia Ni electric.
But ziko ivo.
Tanzania hamna hio grain packing facility ambayo inapakia mahindi direct ndani ya bogi za treni. Mashine kama hii hamtawahi kuwa nayo. Mombasa port is just way too efficient compared to Dar port.![]()
Nadhani Hii itakuwa uharo! ☝️
Asa mzee hii mashine sh ngapi???[emoji16]Tanzania hamna hio grain packing facility ambayo inapakia mahindi direct ndani ya bogi za treni. Mashine kama hii hamtawahi kuwa nayo. Mombasa port is just way too efficient compared to Dar port.
Kwani sie ni next importer wa maize grains? Sie tuna latest silos all over the country that store grains from farmers through suction! And at Dar we have a suction facility for wheat! Go through our prime minister visit to Dar port!Tanzania hamna hio grain packing facility ambayo inapakia mahindi direct ndani ya bogi za treni. Mashine kama hii hamtawahi kuwa nayo. Mombasa port is just way too efficient compared to Dar port.
BTW kilichopo hapo ni kitu kidogo sana wala hamna cha kujisifu! Kama unajua mechanism behind! METL na other individuals wana facility kama hizo pia!Tanzania hamna hio grain packing facility ambayo inapakia mahindi direct ndani ya bogi za treni. Mashine kama hii hamtawahi kuwa nayo. Mombasa port is just way too efficient compared to Dar port.
Tanzania hamna hio grain packing facility ambayo inapakia mahindi direct ndani ya bogi za treni. Mashine kama hii hamtawahi kuwa nayo. Mombasa port is just way too efficient compared to Dar port.
Yaani ya Bakhresa ni nzuri kuliko ya kenya nzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni facility nzuri hongera ila yenu ina-offload to trucks. Mimi nilikuwa natilia mkazo kwamba hii mashine mpya iliyofungwa Kenya ina-offload onto train cargo containers.
Wewe una wazimu kama unadhani kwamba unaweza kucompare grain handling facility inayopakua ndani ya truck na ile inayopakua ndani ya train. Nenda kapimwe ubongo wako utakuwa nati moja imepotea.Yaani ya Bakhresa ni nzuri kuliko ya kenya nzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi boot lenyewe?Inachekesha sana pale Mkenya anapoleta ndala a.k.a slippers kwamba ni bora sana halafu Mtanzania anakuja na boots!! Wakenya bado hawaamini Watanzania tumesonga mbele sana!!.Vitu vingine ni minor sana kwa kweli.
Ni facility nzuri hongera ila yenu ina-offload to trucks. Mimi nilikuwa natilia mkazo kwamba hii mashine mpya iliyofungwa Kenya ina-offload onto train cargo containers.
Kuna tofauti kidogo kati ya hizi facilities mbili. Kwa mfano hii mashine ya Kenya inabidi SGR railway ijengwe chini ya hio mashine ili train iweze kupita chini yake ili mahindi yaweze kupakuliwa. Laini mbili mpya ya reli ya mita mia kadhaa ilibidi ijengwe na kujenga reli sio mchezo hata kama ni mita mia kadhaa. Hio reli mpya imeunganishwa na main line ya SGR ili train inapoondoka chini ya hio mashine inaweza kufanya safari direct hadi Nairobi bila kusimama. Mashine hii inaweza kupakua kwenye treni mbili kwa wakati mmoja. Facility yenu hamuhitaji kujenga railway lines ndani ya hizo weighbridge maana mnatumia trucks.
Unaona hizi new railway lines ilibidi zijengwe chini ya mashine hio.
View attachment 1723452View attachment 1723453
Mkopo hatujui tumeumizwa kiasi gani.Asa mzee hii mashine sh ngapi???[emoji16]
SGR Tanzania itaungwa kwenye silos ndo maana kuna gondola wagons already ordered!Ni facility nzuri hongera ila yenu ina-offload to trucks. Mimi nilikuwa natilia mkazo kwamba hii mashine mpya iliyofungwa Kenya ina-offload onto train cargo containers.
Kuna tofauti kidogo kati ya hizi facilities mbili. Kwa mfano hii mashine ya Kenya inabidi SGR railway ijengwe chini ya hio mashine ili train iweze kupita chini yake ili mahindi yaweze kupakuliwa. Laini mbili mpya ya reli ya mita mia kadhaa ilibidi ijengwe na kujenga reli sio mchezo hata kama ni mita mia kadhaa. Hio reli mpya imeunganishwa na main line ya SGR ili train inapoondoka chini ya hio mashine inaweza kufanya safari direct hadi Nairobi bila kusimama. Mashine hii inaweza kupakua kwenye treni mbili kwa wakati mmoja. Facility yenu hamuhitaji kujenga railway lines ndani ya hizo weighbridge maana mnatumia trucks.
Unaona hizi new railway lines ilibidi zijengwe chini ya mashine hio.
View attachment 1723452View attachment 1723453
wakati mwingine unatia aibu kuna vitu unabidi upotezee sasa hii facility ina maanisha nn? kwamba Kenya ni net importer wa grains yaani is grain deficient haijitoshelezi na mahindi! Sisi ni net exporter wa mahindi!Ni facility nzuri hongera ila yenu ina-offload to trucks. Mimi nilikuwa natilia mkazo kwamba hii mashine mpya iliyofungwa Kenya ina-offload onto train cargo containers.
Kuna tofauti kidogo kati ya hizi facilities mbili. Kwa mfano hii mashine ya Kenya inabidi SGR railway ijengwe chini ya hio mashine ili train iweze kupita chini yake ili mahindi yaweze kupakuliwa. Laini mbili mpya ya reli ya mita mia kadhaa ilibidi ijengwe na kujenga reli sio mchezo hata kama ni mita mia kadhaa. Hio reli mpya imeunganishwa na main line ya SGR ili train inapoondoka chini ya hio mashine inaweza kufanya safari direct hadi Nairobi bila kusimama. Mashine hii inaweza kupakua kwenye treni mbili kwa wakati mmoja. Facility yenu hamuhitaji kujenga railway lines ndani ya hizo weighbridge maana mnatumia trucks.
Unaona hizi new railway lines ilibidi zijengwe chini ya mashine hio.
View attachment 1723452View attachment 1723453
Hio mashine haihitaji refridgerated wagons. Inahitaji open wagons. Nionyeshe ni wapi mumeagiza open wagons for your SGR.SGR Tanzania itaungwa kwenye silos ndo maana kuna gondola wagons already ordered!
Tanzania to acquire refrigerated train wagons for ferrying perishables
Source: Xinhua| 2020-10-24 23:29:15|Editor: huaxia
DAR ES SALAAM, Oct. 24 (Xinhua) -- Tanzania's President John Magufuli said on Saturday plans were afoot to buy 37 new passenger wagons and 800 new freight wagons, including refrigerated wagons for ferrying perishables such as vegetables and fruits, for the country's revived central railway line.
"The refrigerated wagons will help growers of vegetables and fruits in northern regions that are served by the central railway line to ferry their fresh produce to domestic and foreign markets through the Dar es Salaam port," said Magufuli.
Launching the revived Dar es Salaam-Tanga-Kilimanjaro-Arusha railway line managed by the Tanzania Railways Corporation (TRC), Magufuli added that plans were also underway to buy 39 new locomotive engines for the central railway line.
The president said in his address televised live from Arusha that the revived railway line should be used as an economic lifeline to people in the areas it passed through.
Masanja Kadogosa, TRC director general, said revival work of the railway line was financed locally and was done by local engineers.
Enditem
Wacha ufala wenye usenge kama kawa !!Hio mashine haihitaji refridgerated wagons. Inahitaji open wagons. Nionyeshe ni wapi mumeagiza open wagons for your SGR.
View attachment 1723611View attachment 1723612
Ndio nyinyi ni net exporter wa grains ila kumbuka bado mnaagiza wheat from Russia. Ni sharti mfunge hii mashine kwa sababu ya kupakua wheat from Russia.wakati mwingine unatia aibu kuna vitu unabidi upotezee sasa hii facility ina maanisha nn? kwamba Kenya ni net importer wa grains yaani is grain deficient haijitoshelezi na mahindi! Sisi ni net exporter wa mahindi!